Baada ya zuio la miaka 21, Tanzania yaruhusiwa rasmi kupeleka bidhaa ya nyama nchini Saudi Arabia!

Baada ya zuio la miaka 21, Tanzania yaruhusiwa rasmi kupeleka bidhaa ya nyama nchini Saudi Arabia!

Lord denning wewe ni msalyambweta kabisa. Sisi hatumpingi kabisa Mama Samia na hakuna mtanzania mwenye chuki binafsi na Mama Samia.

Kilichopo Mama kaachia wahuni wamuendeshee nchi. Mama kama Mama ana weledi na Watanzania tunampenda mno ila kwenye kuachia nchi waiongoze wahuni hapo ndipo chuki kubwa ilipo.

Yaani kilichopo kwa sasa tunaheshimu tu mamlaka ya rais lakini kusema eti tuna rais Tanzania, hapana, hayupo kabisa.

Tusubiri sijui lini Mama atabadilika au tutapata Magufuli mwingine.

umeongea maneno yenye thamani kuliko dhahabu maneno mazuri sana mwenye akili atafahamu asie na akili ataendelea kuupiga mwingi
 
Nimemsikia mtu mmoja anasema pale Vingunguti kuna wazee wa bakwata wao kazi yao ni kuchinja tu

pale vigunguti hakuna waislamu wanaochinja tunadanganya ni waislamu lakini hawajui hata kusoma dua ya kuchinjia wengi ni wa dodoma watanzania wengi wanakula vibudu bakwata wao kazi yao kwenda pale wakifungiwa maini wanaondoka bakwata haipo kwa ajili ya waislamu bakwata na nyerere ni baba mmoja mama mmoja
 
Kama wana access na twiga wa usd 45,000 full sized kwanini wawazuie kuuza mbuzi wa dollar 40[emoji23]
Sio kweli , nani anunue twiga kwa $ 45k ? Wakati DRC wapo wa kuzoa kwa $ 2k tu tena kila aina ya specie ya mnyama wanayotaka .. Wabongo tunadanganyana sana eti waarabu wana shida sana na wanyama wa Tz wakati Africa nzima wanyama wamejaa wa kuzoa..
 
Hizo kampuni utakuta moja ina hisa za msoga by 80% nyengine hisa za Mzee Hassan kwa 80% halafu wabongo mnaimbiwa ngonjera za nchi kufunguka na mnapiga makofi.

Tuwaone mbuzi wa Vingunguti wakipelekwa Oman hapo huenda ika make sense.
Hata akiwa na his nani sie hatujali! kikubwa zinaajiri Watanzania na kulipa kodi kwa maendeleo ya Watanzania!

Nyie endeleeni tu kuhamisha magoli
 
Katika hoja zote zinazoendelea kujadili bandiko kuu, hii yako ndiyo yenye mashiko.

Kuwe na Katiba, Sheria, Kanuni na Taratibu za kuendesha Nchi, Shirika, au hata Familia, kama hakuna usimamizi makini, NI BURE.

Hivyo basi, kwangu mimi Magufuli atabaki kuwa Rais bora Tanzania kwa kuwa alikuwa na Utashi wa Kisiasa (Political Will). Kwa Utashi huo Kisiasa alithubutu na kusimamia maamuzi yake kulingana na matakwa ya Sera za CCM.

Hivyo basi, kinachoendelea kwenye Awamu ya sasa ya Uongozi wa nchi, ni Rais mwenye maono (vision) asiyoweza kuyasimamia bali yanatekelezwa na WAHUNI na kusifiwa na CHAWA

YAJAYO YANAFURAHISHA lakini YATAHUDHUNISHA
umemaliza matanga hapo chato? au tufanye uzikwe pembeni ya kabuli?
 
umeongea maneno yenye thamani kuliko dhahabu maneno mazuri sana mwenye akili atafahamu asie na akili ataendelea kuupiga mwingi
Utabadili sana id mwaka huu! Wasalimie hapo chato
 
Nimemuuliza mtoa mada vipi kuhusu kampuni nyingine kanijibu nina wivu na samia
Umeomba kupitia kampuni yako ukanyimwa? Unaulizia kampuni nyingine kwani unajua kampuni zilikuwa ngapi? Embu tutajie izo nyingine na tupe ushahidi ziliomba lini?
 
Wewe masikini una nini cha maana zaidi ya kushangilia tu?
Kama ni masikini basi ndo anatakiwa kushangilia saana maana kupitia mapato serikali inaenda kuingiza anapatq uhakika zaidi wa kupata hudumq bora hospitali na mwanae kusoma bure hadi form 6
 
Hakuna kitu kigumu kama kumuelewesha UVCCM kuna maswali ya kujiuliza hapo
~kwa nini ni kampuni 2 pekee?
~Uhitaji wao kutoka Tanzania ni kiasi gani?
~Source ya taarifa yako ni ipi maana naona hiyo page wameandika mama anaupiga mwingi so huoni kwamba huenda imeanzishwa na chawa wa UVCCM kumsifia Samia
~Vipi kuhusu mustakabali wa kampuni nyingine
~Mbona media nyingine hawajatangaza
Acha masononeko utakufa mapema
 
Maisha magumu kivipi? Tafuta kazi jitafutie kipato ! hata marekani na China kwenye chumi kubwa kuna watu wana maisha magumu!

Mie nimejiajiri nafanya kilimo na maisha yanaenda Mungu ananisaidia! nalamba asali kwa kujishughulisha
Nwishowe umeamua kukasirika?

Umeacha kujibu maswali?

Kuupiga mwingi maana yake nini ikiwa hali ya kupanda bei ya mahitaji ya kibinadamu inatishia kesho ya wengi?
 
Kama ni masikini basi ndo anatakiwa kushangilia saana maana kupitia mapato serikali inaenda kuingiza anapatq uhakika zaidi wa kupata hudumq bora hospitali na mwanae kusoma bure hadi form 6
Mkuu, kwa rais Mayai nchi hii hawezi kuibadirisha chochote!

Hivi unahabari hapo dar kuna wale wakusanya kodi za halimashauri zimegawanwa zaidi b10 zikaingia mifukoni mwao, hapo utasema serikali inajali?
 
Lord denning wewe ni msalyambweta kabisa. Sisi hatumpingi kabisa Mama Samia na hakuna mtanzania mwenye chuki binafsi na Mama Samia.

Kilichopo Mama kaachia wahuni wamuendeshee nchi. Mama kama Mama ana weledi na Watanzania tunampenda mno ila kwenye kuachia nchi waiongoze wahuni hapo ndipo chuki kubwa ilipo.

Yaani kilichopo kwa sasa tunaheshimu tu mamlaka ya rais lakini kusema eti tuna rais Tanzania, hapana, hayupo kabisa.

Tusubiri sijui lini Mama atabadilika au tutapata Magufuli mwingine.
Hebu niambie ni wahuni gani wanaendesha Tanzania na ni uhuni gani wamefanya?
 
Unasikia kuupiga mwingi mara kufungua nchi ila ukiuliza maendeleo yapo wapi? Unatajiwa madarasa, hospitali na barabara tu.
 
Nikitafakari, naona wazi nchi zinazosemakana kufungwa awamu iliyopita na sasa zinafunguliwa; ni nchi za falme za kiarabu. Hata ziara nyingi za viongozi zimefanyika huko kwa awamu hii. Kila la kheri!
 
Sababu ya kuzuia ilikuwa kuenea kwa ugonjwa wa miguu na midomo

Yes! Ni tangu awamu ya Mkapa na unfortunately awamu zote zilishindwa kuishawishi serikali ya Saudi kuondoa zuio. Ni serikali ya awamu ya 6 imefanikiwa kufanya huu ushawishi

Kuhusu kampuni mbili ni kampuni hizo zilizoomba kupitia serikali au unaona wivu?
Si swala la kuupiga mwingi kama Mayela wala nini. Nani mwanaume rijali anaweza kuhimili macho ya mama. Hakunaga mkate mgumu kwa chai ya moto.
 
Baada ya zuio la miaka 21, Saudi Arabia imeruhusu kampuni mbili za kitanzania kuingiza nyama nchini mwao

Tunaposema Rais Samia anaupiga mwingi tueleweni jamani! Hii ni baada ya jitihada alizofanya kuongea na Serikali ya Saudi kutuondolea zuio hili

Uchumi unafunguka kweli na nchi inafunguka kweli! Poleni sana wale wenye chuki zenu! Madolali yanaenda kuzidi kumiminika kwenye mapato ya nchi!

Hii ndo maana halisi ya kuongoza kwa akili!

Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano Tanzania

View attachment 2271110
Elezea terms za makubaliano hayo.

Wanapata nn in return?
 
Back
Top Bottom