[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haya sio ndo Yale ya computer engineering, software enginering??
Walisoma hivi saivi wanauza cover za Simu,protector USB ,.
Si ni life tu??
Wallah si ni life tu??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni kweli mkuu, lakini ukumbuke kuna vitu hautavielewa mpaka uwe na mwalimu physically na zaidi cheti ndio utatumia kuonesh umesoma kweli.Course za IT kama una kichwa kizuri unasoma mwenyewe,hiyo cybersecurity hiyo unaweza ukaisomea home mwenyewe na PC yako,Youtube,Torrent kuna tutorial na pdf kibao.
Ila kitu chenye ajira za wazi ni Programming,hiyo cyber haifui dafu kwa programming.Piga zako Java,Python,PHP,C++ utapiga hela mpaka utazikataa .
Nina watu wamesoma code wenyewe,hasikudanganu mtu chuo,walimu walio wengi code wanaziogopa,ukitaka kuwa nondo ingia Youtube alafu soma mwenyewe.Ni kweli mkuu, lakini ukumbuke kuna vitu hautavielewa mpaka uwe na mwalimu physically na zaidi cheti ndio utatumia kuonesh umesoma kweli.
Aliyeiva kwenye cyber anajua programming automatically.Course za IT kama una kichwa kizuri unasoma mwenyewe,hiyo cybersecurity hiyo unaweza ukaisomea home mwenyewe na PC yako,Youtube,Torrent kuna tutorial na pdf kibao.
Ila kitu chenye ajira za wazi ni Programming,hiyo cyber haifui dafu kwa programming.Piga zako Java,Python,PHP,C++ utapiga hela mpaka utazikataa .
Nani kwa kwambia,mimi mwenyewe nipo kwenye field hii IT (Network Engineer) najua walio wengi hawajui Code,nina marafiki kibao eGA ,TCRA code weupe wana idea tu.Aliyeiva kwenye cyber anajua programming automatically.
Kwani hujaelewa ninapokwambia aliyeiva? Namaanisha Expert.Programming ni kipengere tu kwenye cyber security kwa taarifa yako.Nani kwa kwambia,mimi mwenyewe nipo kwenye field hii IT (Network Engineer) najua walio wengi hawajui Code,nina marafiki kibao eGA ,TCRA code weupe wana idea tu.
Wazuri tu wakutumia tools hizi za Kali Linux,Parrot OS nk.
Code kuijulia huju ukubwani kazi,mimi mwenyewe field yangu sasa hivi inanitaka nijue code ndio nahangaika nayo.
Nakukatalia mimi toka nimalize chuo nina miaka saba,jamaa zangu kwenye field hii ya cyber wana miaka mitano,najua ninacho kiongea.Programming ni shughuli si ya kitoto,programming wana gusa gusa tu ila sio deep,wazuri kwenye Server,Linux,Networking na Database kidogo.Kwani hujaelewa ninapokwambia aliyeiva? Namaanisha Expert.Programming ni kipengere tu kwenye cyber security kwa taarifa yako.
Dah mkuu unatu motivation speaker au ya kweli haya.Nakukatalia mimi toka nimalize chuo nina miaka saba,jamaa zangu kwenye field hii ya cyber wana miaka mitano,najua ninacho kiongea.Programming ni shughuli si ya kitoto,programming wana gusa gusa tu ila sio deep,wazuri kwenye Server,Linux,Networking na Database kidogo.
Nina wanangu watatummoja yupo eGA programmer anapiga kazi kampuni mbili,hapo kuna viproject vidogo vidogo vya pembeni kwa wiki hakosi laki tano.
Mwengine kajenga ndani ya mwaka,huyu ndio hatari hii Java na C++ anaipiga tokea yupo advance ,huyu sasa anachukuliwa kutengeneza zile system konki na makampuni makubwa.
Mwengine tulivyo maliza chuo kasema yy hatoajiliwa na kweli sasa komaa kama miezi miaka mitatu,sasa hivi anapata project mfululizo na ndiye aliye nishauri nikazanie code.
π π π π π πWalisoma hivi saivi wanauza cover za Simu,protector USB ,
The majority of entry-levelNakukatalia mimi toka nimalize chuo nina miaka saba,jamaa zangu kwenye field hii ya cyber wana miaka mitano,najua ninacho kiongea.Programming ni shughuli si ya kitoto,programming wana gusa gusa tu ila sio deep,wazuri kwenye Server,Linux,Networking na Database kidogo.