Hapana, nimesema muda wote kuwa Lisu was my favorite politician, a very favorite one. kati ya Mbowe na Lisu nilikuwa namkubali Lisu from an angle of being aggressive against wrongdoings! But he was on a bad side with regard to diplomacy. Mbowe was good at that. In struggle, you need both!Kwani huyu Jama ( Retired ) si ana msupoort mbowe toka kipindi Cha uchaguzi wa ndani... Au kubadirika msimamo ???
Me naona bado anamshpport mbowe na anamchukia lissu.
yeye lissu ndo ahame kawakuta, arudi zake TLPHawa G.55 sijui wana shida gani, wameambiwa, mwendo wa chama kwa sasa ni No Reforms No election, wao bado wanaleta pye pye pye. Kama wao hawaamini hiyo, wameambiwa milango ipo wazi, waende watakako.
Usipokubaliana na uamuzi wa wengi, nenda kaanzishe chama chako au kajiunge na chama kingine
Watahamaje wakati walishafukuzwa?.Labda watangaze chama wanachojiunga nachoKupitia ukurasa wake wa X, John Mrema ametangaza leo kuwa na mkutano na waandishi wa habari Golden Tulip, Masaki.
View attachment 3326611
Soma pia:
Wahame hata nchiKupitia ukurasa wake wa X, John Mrema ametangaza leo kuwa na mkutano na waandishi wa habari Golden Tulip, Masaki.
View attachment 3326611
Soma pia:
Wachaga 😂Kupitia ukurasa wake wa X, John Mrema ametangaza leo kuwa na mkutano na waandishi wa habari Golden Tulip, Masaki.
View attachment 3326611
Soma pia:
Mchana wa vunjo huyo mlevi usimpachike umasaiSijaona mmasai mwenye njaa kali kama Joan Mrema 😂
malengo ni yapi? sasa hivi heche kanyamaza kimya, prado nimezima wese hamna, kwa ujinga wako unaamini Lissu ana nia njema na cdm? ngoja uoneI hope and pray watafanya tunachodhani watafanya.
It is a massive distraction and disruption in the party.
Can you please get away from us ? Just go please! Thanks a million.
Malengo ya CDM ya Tundu Lissu sio kushika madaraka ya mtu mmoja mmoja bungeni hapa na pale...
Hapa tutaendela kuvutana mashati kila siku. Anzeni safari mpya kwingine. You will be highly appreciated for dipping off.
Hawawezi ACHA kwa kuwa Kuna watu wako nyuma yakeBado hawajakata tamaa?
Atakayebaki Chadema ndiyo royal kwa Lissu na uongozi aendelee nao. Chadema imepikika wamebaki wanaotembea na wananchi. Hii ni hatua nzuri ya kuimarisha chama upyaI am a staunch supporter of Chadema, lakini yaliyoendelea wakati wa uchaguzi yalinitia doa sana. Lisu was my favorite politician, mtu niliyemuamini sana kuliko Mbowe. But we wanted a smooth transition to preserve the party members' unity! Ona sasa kinachotokea...mara G55, mara chauma..... very sad!
Are. Yaani Chadema ungepata wanachama 1k
Wa tajiriba yako.
Alaf 50 leaders wa mrengo wako wa kifikra. Leo ungekuwa sehem strong Sana....
Wether ingekua inagombea au haigombei Ila ingekua strong Sana.
Yan chama chenye hakuna migogoro na chenye kusitiriana walisema tunashiriki ushiriki huwa na mshindo na walisema hawashiriki mshindo huwa mkubwa vilevile.
Huu utoto unaendelea uliwarudisha nyuma Mara kadhaa na hata Leo naona unakirudisha nyuma chama ....
JAPO WALE RADICALS WATANIBISHIA NA WATAKUBISHIA BWANA Retired Ila uhalisia ni huu kwamba umoja ni nguvu na utemgano ni udhaif
Aje huku tuendeshe bodaboda.Hahaha mpe ushauri wa namna ya kujiajiri
I am a staunch supporter of Chadema, lakini yaliyoendelea wakati wa uchaguzi yalinitia doa sana. Lisu was my favorite politician, mtu niliyemuamini sana kuliko Mbowe. But we wanted a smooth transition to preserve the party members' unity! Ona sasa kinachotokea...mara G55, mara chauma..... very sad!
Hapana, nimesema muda wote kuwa Lisu was my favorite politician, a very favorite one. kati ya Mbowe na Lisu nilikuwa namkubali Lisu from an angle of being aggressive against wrongdoings! But he was on a bad side with regard to diplomacy. Mbowe was good at that. In struggle, you need both!
LAKINI alivyo behave wakati wa kampeni za uchaguzi, Lisu alinivunja imani kwake. He acted like a hooligan agressive supreme of power. Amekigawa chama, mtu mwenye akili angeliaca kugombea, Mbowe akampisha after 5yrs kama alivyokuwa ameahidi na chama kikaendelea kuwa shwali! sasa ona kinachoendelea.
ILA KWA SASA NIKO UPANDE WAKE KWENYE KESI YA UONEVU INAYOMKABIRI. TUNAACHA TOFAUTI ZETU TUNAPIGANIA KUPINGA UONEVU NA UKOSEFU WA SHERIA ANAOFANYIWA.