PreGE2025 Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nimekusoma.
I respect people who respect their believes and standing while maintaining togetherness .....

you've earned my respect. 💪💪

Chadema ya leo inawajua vyema ndugu katika ngozi ya kondoo:



Kwisha kuumwa na nyoka ndugu yangu.
 
Mbowe anaenda kwa shemejiye CUF wewe endelea kupalilia migomba yake hapo machame 😁
 
Wakihama pia watakuwa wamefanya jambo zuri. Wana uhuru na haki ya kufanya hivyo, badala ya kulia lia tu na kulalamika kila siku.
 
kila leo conferences.........................nasikia wanakwenda CHAUMA. Wote na Lisu takataka walivyobehave wakati wa kampeni! Takataka tupu, na hili John linaendelea kuwa takataka kiwango cha lami!
Hao kina Mrema na G55 ni mamuluki tu wa CCM wanatumika km CCM Project/Mbowekuibomoa CHADEMA hawana lolote. CCM Shenanigans waheed!
 
ameshindwa kuyaunganisha makundi. If it were me, I would have created some positions for a few individuals who had administrative roles from the outgoing administration.........
Ndio maana chama kilimshinda Mbowe kwa kushauriwa hivi, maana ya uchaguzi ni nafasi ya kurekebisha mapungufu kidemokrasia na kuanza upya..huwezi kuwa kiongozi km unadhani unaweza kufanya kila mtu afurahi! na uongozi ni kujifunza..lazima ukubali wengine nao wafanya mchango wao! ni bora chama kibaki na watu wachache kuliko kujaza mamluki kwa kuogopa watakisumbua chama wakikosa uongozi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…