PreGE2025 Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
haaya bwana sasa mmegawanyika....... Lisu angeliweza kuzuia mgawamyiko kwa kuwa inclusive!
 
Reactions: Tui
Wanavumiliwa sana hawa wapuuzi,fukuza wote.
Chadema Kwa Sasa kinarudisha Imani kwa waTZ .
Wahuni wasepe tu,kwanza chama kimewabeba sana huku wakitufanyia bongo movies
 
Ukisikia mwenzio ananyolewa , tifu ya CUF ya Lipumba .

Shusha Tanga ndio hawa G55 , ila hii itakuwa liza king'ora tuondoke
 
Reactions: Tui
Hao kina Mrema na G55 ni mamuluki tu wa CCM wanatumika km CCM Project/Mbowekuibomoa CHADEMA hawana lolote. CCM Shenanigans waheed!
hapana siungi mkono wazo lako.... ubaguzi and you seem to be a kindergatten age
 
Lisu alikubali kumwachia mbowe lakini mbowe kwa kushirikiana na CCM wakaona lisu ni mpinzani wa kweli wakataka wamuengue wabaki walamba asali wakamtuma yule wa mwanza akachuane nae ili amfanyie figisu wambwage ikabidi lisu abadili gia angani, na alisema wazi kuwa jamaa alitumwa nae kwa kuona amedharauliwa akasema Sasa anagombea na aliyemtuma.
 
..kwa haya anayofanya Mrema ni uthibitisho kabisa chadema ilikuwa compromised na ccm/dola na hivyo chama kisingefika popote! elewa pia dola inatumia njia zote kudhoofisha upinzani na mojawapo ni hii ya kununua watu ndani ya chama ili wawe sehemu ya kukidhoofisha chama kwa kuanzisha migogoro..angalia ishu ya wabunge 19 halafu bado unaamini Mbowe, kigaila, Salimu Mwalimu, Mrema wangeweza kukifikisha chama sehemu nzuri tena..? sahau!
 
Hawa walibebwa sana na mbowe na hata Hao mademu /wake zao ni COVID-19 Kwa Sasa hawana amani maana mipango yao ilikua kwa Covid-19 waendelee kuwepo and last waje wawaombee msamaha baada ya bunge kuvunjwa.
 
mkuu john kaanzia mbali, kubeba spika na kubandika mbao za matangazo, leo unamfukuzaje ka mbwa kisa alikuwa right man wa mbowe
..unaongea kubeba spika, je waliotoa damu zao kwa ajili ya chama watasema nini..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…