PreGE2025 Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wachumia tumbo wanajulikana tu. Siku hizi kuhama chama sio habari mpya tena sanasana ni heshima yao kuporomoka tu
 
Sasa hawatalitumia jina la CHADEMA kukupa umaarufu.

Wapumbavu walitaka wautumie CHADEMA kufikia malengo yao binafsi.
 
Kweli Nyika et al mmeshindwa kuunganisha chama? Mmetuangusha tuliowategemea.

Na hawa waliojitoa nao nawalaumu. Wangelivumilia maana time heals. Muda ulikuwa bado....
Hiko chama hakijagawanyika, safari bado ni ndefu sana
 
Kweli Nyika et al mmeshindwa kuunganisha chama? Mmetuangusha tuliowategemea.

Na hawa waliojitoa nao nawalaumu. Wangelivumilia maana time heals. Muda ulikuwa bado....
Hao ni evolution ya covid19 na ni team mbuyu
 
Tunawatakia kila la heri
 
Chama ndio kinakwenda kuimarika kwa sababu hako kakundi njaa kalishindwa kuyakubali mabadiliko tangu kitambo.
 
Bora wamejiondoa wahuni hao, CHADEMA ina watu wengi elite haitatetereka ndio kwanza inazidi kuwa imara chini ya mwenyekiti wake mpya jemedari hodari na shupavu mheshimiwa Tundu Lissu
 
Kweli Nyika et al mmeshindwa kuunganisha chama? Mmetuangusha tuliowategemea.

Na hawa waliojitoa nao nawalaumu. Wangelivumilia maana time heals. Muda ulikuwa bado....
Imegawanyikaje?

Yaaani Mapandikizi na Madalali wa Kisiasa kushindwa kufanya siasa za kweli na kujiondoa kwenye Chama ndo kugawanyika kwa Chama?

Waende sehemu ambayo wataendeleza siasa zao za kidalali. Huyo Kigaila si ndo alimchomeka mke wake kwenye kundi la Covid 19? Wajinga na wapuuzi tu hao!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…