Yo majesty
JF-Expert Member
- Sep 13, 2023
- 687
- 1,179
Acha kunisingizia basiWewe
Eeeh! 😒Si pacha ako!
Mnafanana karibia kila kituEeeh! 😒
Mnafanana karibia kila kitu
Mimi mshamba sijui kutofautisha prova na pullover(pull over).Me nilibebewa ma prova yote
UmezidishaKama wewe unavyofanana na Maghayo 🤣
Ila si umemuelewa alicho maanishaMimi mshamba sijui kutofautisha prova na pullover(pull over).
HuweziTatizo lipo kwako wala usiwalaumu.
Mjinga mmoja aje kwangu atake kuondoka na mali zangu nimuangalie tu haiwwzekani! Labda demu wangu sababu napata utamu na tulizo la moyo .
Siku ikitokea huyo nitamwitia mwizi wampige wamchome moto
Lakucha.Acha kunisingizia basi
Hapana, Sina uhakika.Ila si umemuelewa alicho maanisha
We unafikir kamaanisha nini😂Hapana, Sina uhakika.
Inawezekana hiyo prova ni aina mpya ya nguo au kitu chochote tofauti na ninacho fikiria amemaanisha.
Kwa kifupi siwezi kuruhusu Jambo kama hiloHuwezi
Kwenye vikao vyetu tutakuachia kweli daftari si watalibeba piaMtu anakuja kwako na kuanza kutamani vitu kisha kuchukua haijakaa poa. Mimi nilikuwa na track suit yangu nzuri sana ya bei mbaya ila tayari wameshachukua.
Mmoja alichukua jacket na mwingine akachukua track ya chini. Ni kama waligawana. Tshirts kadhaa pia zimechukuliwa.
Majuzi hapa nilinunua blender baada ya kuona ni bora nijitengenezee juice. Bahati mbaya kutokana na ratiba zangu za kuondoka mapema na kurudi usiku nikawa sijaitumia kabisa. Mdada alitaka aondoke nayo ikiwa ndani ya box sijafungua. Hii sio sawa.
Ninajua hali ni ngumu ila mjikaze mnapowatembelea watu wenu. Pia mkija njooni na vitu kama tray la mayai, kuku, hata debe la mpunga ni sawa, kinachobebeka kutoka huko kwenu njoo nacho.
Pullover.We unafikir kamaanisha nini😂
Kamanisha maswteta fulani hivi huvaa vijana sana sanaPullover.
Sema mimi umri umeenda na nashinda sana maporini na watu washamba nikahisi new trending fashion zinanipita.