Huyo hapana kavuka mipaka [emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo atajifunza.
Kuna huyo mmoja yeye kila siku anaenda kwa boyfriend wake akiwa kazini kupika chakula kisha anabeba anapeleka kwao wanaenda kula. Ni mwendo wa kupasua mayai na misoseji tu.
Basi hizo pullovers.Kamanisha maswteta fulani hivi huvaa vijana sana sana
Nadhani hili swali ulitakiwa ujiulize ww maana mwanaume anaye pata mlo kamili na aliye kamilika hawezi kujiita mama samia au kupelekeshwa na visichana vya mitaani mpaka una kuja kulalama mtandaoni.Jomba una uhakika wa milo mitatu kwa siku?
Halafu atamuuzia Erythrocyte kwa siri. 😄Hakuna aliyekuibia shati lako la CCM??
Chukua kaa la moto tia kinywani itakusaidia kupunguza ujinga.Nadhani hili swali ulitakiwa ujiulize ww maana mwanaume anaye pata mlo kamili na aliye kamilika hawezi kujiita mama samia au kupelekeshwa na visichana vya mitaani mpaka una kuja kulalama mtandaoni.
Sasa kama ndugu yangu mama Samia unalalamika🤣je mimi na makutupora au Intelligent businessman 🤣tusemeje majobless Promax watu tunawaza kuuza had uduvi mkono uende kinywaniMtu anakuja kwako na kuanza kutamani vitu kisha kuchukua haijakaa poa. Mimi nilikuwa na track suit yangu nzuri sana ya bei mbaya ila tayari wameshachukua.
Mmoja alichukua jacket na mwingine akachukua track ya chini. Ni kama waligawana. Tshirts kadhaa pia zimechukuliwa.
Majuzi hapa nilinunua blender baada ya kuona ni bora nijitengenezee juice. Bahati mbaya kutokana na ratiba zangu za kuondoka mapema na kurudi usiku nikawa sijaitumia kabisa. Mdada alitaka aondoke nayo ikiwa ndani ya box sijafungua. Hii sio sawa.
Ninajua hali ni ngumu ila mjikaze mnapowatembelea watu wenu. Pia mkija njooni na vitu kama tray la mayai, kuku, hata debe la mpunga ni sawa, kinachobebeka kutoka huko kwenu njoo nacho.
🤣🤣🤣🤣 jamani Mama Samia mbona unatutishaaaaaaaSasa kama ndugu yangu mama Samia unalalamika🤣je mimi na makutupora au Intelligent businessman 🤣tusemeje majobless Promax watu tunawaza kuuza had uduvi mkono uende kinywani
Mmefanana sana.Umezidisha
SIkuona, asante. Umeamkaje?Lakucha.
Nasicha.SIkuona, asante. Umeamkaje?
Mnama min -me unamfundisha nini huyu?Nasicha.
Hapana upo sawa lakini najua unaambiwa na mtu.Kwani nimekosea?
Ngicho nbeyo.Hapana upo sawa lakini najua unaambiwa na mtu.
Unanichanganya, wewe ni nani?Ngicho nbeyo.