GE2025 Baadhi ya maeneo ya Iringa kumetapakaa matangazo ya kuhamasisha watu kuandamana Oktoba 29, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Katika baadhi ya maeneo Mkoa wa Iringa kumeonekana matangazo yalibadikwa yakieleza au kuhamasisha maandamano ambayo yatafanyika Oktoba 29, 2025 ambapo pia siku hiyo itakuwa ni siku ya kupiga kura katika uchaguzi mkuu!

Katika hayo mabango yameeleza kwanini watu waandamane? Moja ya sehemu ambapo yamebandikwa ni Iringa mjini kutokea Ipogolo kuelekea manispaa.

Je kufanya hivi wananchi watapata joto la kuandamana au nikuweka nguvu isikuja kuzaa matunda?

snapins-ai_3747550617578244934.webp
snapins-ai_3747550617544709906.webp
snapins-ai_3747550617544688758.webp
snapins-ai_3747550617544733143.webp

snapins-ai_3747550617595083208(1).webp
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Duuuuh!
 
Hii 29 October ni ya moto, na mkoa mmoja tu kikiwaka basi yatasambaa hata kwa mikoa ambayo ilikuwa shwari…chain reaction…sidhani kma Jeshi la police lina manpower ya kumage hii ishu…na ninaona kabisa na wao kwa namna moja au nyingine kuungana na wananchi…betrayal is on the way and I see it coming, na hii ndo itaimaliza utawala. Wamejisahau hawa watu.
 
Mwachieni Polepole, Achaneni ya kina CDM na Lissu, Watoeni watu wote mliowateka, Sogezeni uchaguzi mbele tuongee kama taifa... kwa nn tumefika huku ndugu zangu? Tatizo ni nini hasa? madaraka ama ?
That WOMAN of yours is REJECTED. Msilazimishe mtalaanika kuiingiza Tanganyika yetu kwenye machafuko.
 
Katika baadhi ya maeneo Mkoa wa Iringa kumeonekana matangazo yalibadikwa yakieleza au kuhamasisha maandamano ambayo yatafanyika Oktoba 29, 2025 ambapo pia siku hiyo itakuwa ni siku ya kupiga kura

katika uchaguzi mkuu!

Katika hayo mabango yameeleza kwanini watu waandamane? Moja ya sehemu ambapo yamebandikwa ni Iringa mjini kutokea Ipogolo kuelekea manispaa.

Je kufanya hivi wananchi watapata joto la kuandamana au nikuweka nguvu isikuja kuzaa matunda?

View attachment 3491200View attachment 3491201View attachment 3491202View attachment 3491203View attachment 3491204
View attachment 3491205
Hawachelewi kumdaka huyu mama
 
Huyu mama Bora aondoke Tu , Leo tumekaa kwenye foleni Toka asubuhi Hadi muda huu wa jioni barabara hii ya kilwa imefungwa kuanzia kariakoo, mbagala , kisemvule Hadi Rufiji.
Maelfu ya watu wamekwama shughuli zao kwasababu ya MTU mmoja Tu alafu yeye mwenyewe anatumia helicopter huku msafara wake wakitumia barabara
 
Mbegu huwa inapandwa taratibu na kuota taratibu ila hata maandamano yasipotokea mwaka huu tumeona kitu cha tofauti ambacho hatukuwahi kukiona yaani poster za maandamano kubandikwa sehemu za wazi.

Wanaweza kuwekeza nguvu kuteka , kuua , kuzima maandamano ya October 29 , je watqweza kuzima ukosoaji wa serikali iliyopoteza uhalali hadi 2030 hiyo nguvu wanayo ? muda ni hakimu mzuri.

Kuna kitu cha tofauti nakiona hasa kwa kiazi hiki kipya cha GenZ kuna siku wataamka hao watawala watabaki na mshangao .

Mtu ambaye Samia atatakiwa kumlaumu ni yule aliyemdanganya njia pekee ya kujitwalia madaraka kirahisi 2025 ni kumtwngenezea kesi na kumfunga Lissu na pia kuifungia CHADEMA isifanye siasa na hadi kufikia kutowaruhusu hata viongozi kusafiri nje ya nchi sasa wananchi wanapokosa hata mtu wa kuwasemea kero zao nini kitafuata sote tunajua historia inasemaje na tusubiri nyakati zitajirudia na watu watashangaa.
 
Hakuna kijana anaweza kuandamana ni utani wa vijana wakishashiba Ugali.
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
CC adriz Lucha Magonjwa Mtambuka
 
Huyu mama Bora aondoke Tu , Leo tumekaa kwenye foleni Toka asubuhi Hadi muda huu wa jioni barabara hii ya kilwa imefungwa kuanzia kariakoo, mbagala , kisemvule Hadi Rufiji.
Maelfu ya watu wamekwama shughuli zao kwasababu ya MTU mmoja Tu alafu yeye mwenyewe anatumia helicopter huku msafara wake wakitumia barabara
Hii kitu huwa inakera sana.
 
Back
Top Bottom