Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Licha ya haki ni mkoa wenye hali ya hewa nzuri na ni cheap kuishi. The nation basket msosi bei rahis.Huu mkoa wa Iringa viwanja bado vinapatika? Huu ndiyo mkoa unaofaa kwa makazi. Mkoa wa wapenda HAKI.
Ila wakazi wake wengi ni suicidal nasikia ni issue ya genetics.