Baadhi ya majina ya Kisukuma na maana zake

hahahhha ghashi naga no bhebhe ushimanile gete !no nene nhale mhuno!ngw'anza gete
 
Halafu nashukuru kwa kunipa maana ya jina Limi nimeelewa kwanini waliamua kunipa hilo jina.
iiiii...Kumbe ni lijina lyako? Maana yake ALIYEZALIWA MCHANA. Na LIMI HAGATI...Maana yakwe aliye zaliwa Saa SITA Mchana!
 
iiiii...Kumbe ni lijina lyako? Maana yake ALIYEZALIWA MCHANA. Na LIMI HAGATI...Maana yakwe aliye zaliwa Saa SITA Mchana!

Iiiiigghhh bhaabhaa, usiseme kwanguvu watasikia...

Wasije wakajua maan kwa jina la LIMI najulikana maeneo maeneo ambako ni nyeti sana, acha niishie hapo wasije jumamosi wakanifata kazini.

Wabheja.
 
Iiiiigghhh bhaabhaa, usiseme kwanguvu watasikia...

Wasije wakajua maan kwa jina la LIMI najulikana maeneo maeneo ambako ni nyeti sana, acha niishie hapo wasije jumamosi wakanifata kazini.

Wabheja.
Wewe ni msukuma au mnyamwez?
 
Shileki...umenkumbusha huyu madam wangu enzi hizo...alikuaga bonge la beautiful, yan alkuaga akiingia class nkua cmwelew maana mawazo yangu yalkua yanahama ghafla....too bad nlhama bila kumwambia feelings zangu,na hadi leo cjui whereabouts zake,madam Shileki kama upo humu know that Nilikupendaga saaana bas 2 nlkuaga domo zege enz hizo za O'level
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…