Hapana, mimi Msukuma wa Dar, tena kuna cousins wangu wa Mwanza wanakichapa zaidi yangu.Dah wewe ni msukuma original kabisa
unaukumbuka Ngh'wimbo huu? Uko kwenye moja ya hadithi za huko..Ng'wana wa nshimba nang'we nshimba
Kuna ndugu zetu Wasukuma walikuwa wanakuja nyumbani Dar.
Yani kuna wengine hawamini kwamba kuna mtu hajui Kisukuma.
Wanakuongelesha mfululizo mpaka unakijua tu.
Tojage eng'hwani lolo ango. Olemana nalehaya kolola e Nyanza ya ngh'wani kwenuku.
Hapo mtu hajawahi kuona bahari anakulalamikia umpeleke beach, mpaka utaelewa tu.
Hahahaaaa! Just hahahahaaaa!
Shout out kwa huyo Msukuma...
Henaho wawelwa yombaga minze minge gete ga kong'wa, kongono, ole otong'wa maminze nolo mamilemo oteho kweta.Hahahahaaa Kiranga na wewe ni mchokozi eeeh. Hiyo ya wao kuongea kilugha hadi wewe unajua kuna bibi yangu mmoja upande wa mama alikuwa anasema hivohivo kuwa mtu ukitaka kujua lugha kukaa au kuishi na wanaojua hiyo lugha na wao hawajui kiswahili au kiingereza. Baada ya muda unajikuta unajua tuu hiyo lugha maana huwezi kuwa bubu. Ukitaka maji halafu hujui kwa kilugha ili akuelewe unaonesha uhitaji wa maji kwa vitendo. Kisha anakwambia kwa kilugha kuwa siku ingine ukitaka maji useme (anakutajia kwa kilugha).
Sasa uchokozi wako Kiranga ni hapo uliponiandikia maneno ya kisukuma..... naomba nitafsirie tafadhali hapo uliponiandikia kwa kisukuma maana nimetoka kapaa.
Hivi nikitaka kusema tafadhali kwa kisukuma nasemaje? Hehehehehehe naomba darasa kidogo looh.
Nahene Mmami!Utizo eta mamihayo ga tuja henaha, okoyomba shisukuma doho!
Hahaha, tunajikumbushia kumbushia, sio keshokutwa unatembelea wazee Kisukuma kumepotea lafudhi.Nahene Mmami!
Hasaa. Eti unaongea Chisukuma na lafudhi za Kiswahili (na pengine Kiingereza). Hii siyo nzuri Mmami!Hahaha, tunajikumbushia kumbushia, sio keshokutwa unatembelea wazee Kisukuma kumepotea lafudhi.
Ng'wenuyo atamanilhe shizya, aligemagema duhuDah wewe ni msukuma original kabisa
Nhamhala ong'waniHapana, mimi Msukuma wa Dar, tena kuna cousins wangu wa Mwanza wanakichapa zaidi yangu.
Ila mimi napenda sana lugha na nafuatilia, ndugu zangu waliokuwa hawajui Kiswahili vizuri nilitaka sana kuongea nao, nikajifunza Kisukuma cha kuongea kawaida nikaweza.
Sema vijana wa siku hizi hasa wa mjini, shobo nyingi, wanasahau mila, tamaduni, lugha.
Unanisifia Kisukuma kidogo tu hiki, wakija wenyewe hapa itakuwa shida.
Hasaa. Eti unaongea Chisukuma na lafudhi za Kiswahili (na pengine Kiingereza). Hii siyo nzuri Mmami!
Kenehe Nsumba Ntale?Nhamhala ong'wani
Ndugu thabu gete nhamhala ong'waniKenehe Nsumba Ntale?
Abafumo bange wabamala elelo?
Tokobina ango?
Makoye,Ndugu thabu gete nhamhala ong'wani
Nsumba ntale onzengo, akutun'gwa na banamhala kutwala masuku ng'wamabhanza kwingila kadashi nulu kabila.