Haya mi ndo nayasikia leo maana yake ilikuwa ni niniKULALEKI
DUXI DU
NGINGA NGINGA
Mkwanja Bado nalitumia mnoMkwanja.
afanalekiHio kulaleki inaedana na ile ya joti ya kudadadeki
😁😁Wakati maneno (misimu) hayo yanatumika mimi nilikuwa mwanasabato, hivyo sikuruhusiwa kuyatumia ndiyo maana hata siyajui.
Enzi zile suti ilikuwa inanivaa
😅😅Acha shobo : usijipendekeze
😅😅Wakati maneno (misimu) hayo yanatumika mimi nilikuwa mwanasabato, hivyo sikuruhusiwa kuyatumia ndiyo maana hata siyajui.
Enzi zile suti ilikuwa inanivaa
FatakiMZEE MWENZANGU