Baadhi ya maneno na slangs ambayo yanafifia siku hizi

Baadhi ya maneno na slangs ambayo yanafifia siku hizi

SHEGA

KULALEKI

BOMBA

MILUPO

MIKASI

UMEME (UKIMWI)

SLIMU (UKIMWI)

DENTI

DUXI DU

NGINGA NGINGA

MZEE MWENZANGU

... ongezea na mingine tukumbushane...
Kuna MISIMU na

REJESTA.

Hayo maneno yanayopitwa na wakati yanaitwa MSIMU.
 
Bushoke,
Zoba
Kula jiwe
kula buyu
Mwanangu mwenyewe
Mzee wa Busara
Kitumbua
Kipapa
kipipa,Bonge nyanya.kifusi
Mbunju
thumni
Chakubanga
Kiruka njia
Pashkuna
Checkbob
Dukinaa
Mchizi
Wali mchafu
Mandondo
Chuchu konzi
Bichkoma
Faru John
 
Back
Top Bottom