Haya mi ndo nayasikia leo maana yake ilikuwa ni niniKULALEKI
DUXI DU
NGINGA NGINGA
Mkwanja Bado nalitumia mnoMkwanja.
afanalekiHio kulaleki inaedana na ile ya joti ya kudadadeki
ππWakati maneno (misimu) hayo yanatumika mimi nilikuwa mwanasabato, hivyo sikuruhusiwa kuyatumia ndiyo maana hata siyajui.
Enzi zile suti ilikuwa inanivaa
π πAcha shobo : usijipendekeze
π πWakati maneno (misimu) hayo yanatumika mimi nilikuwa mwanasabato, hivyo sikuruhusiwa kuyatumia ndiyo maana hata siyajui.
Enzi zile suti ilikuwa inanivaa
FatakiMZEE MWENZANGU