Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
nimemtumia kama mfano. Naongelea kwa ujumla wa mitandao.Mkuu nina mashaka humjui vizuri Sirjeff Dennis usingekuwa unayaongea haya! Kuna watu wanamaisha.[emoji16][emoji16]
Ila hata huyo Sir wako (Sijui alikuwa knighted lini na malkia) usimuamini sana ikiwa sio mtu wako wa karibu. Picha za instagram na interview vinaweza kupangwa tu ili kuhalalisha maigizo.