Baadhi ya marafiki wakifanikiwa kipesa tu kidogo, wanaanza maneno ya kejeli

Mkuu nina mashaka humjui vizuri Sirjeff Dennis usingekuwa unayaongea haya! Kuna watu wanamaisha.[emoji16][emoji16]
nimemtumia kama mfano. Naongelea kwa ujumla wa mitandao.

Ila hata huyo Sir wako (Sijui alikuwa knighted lini na malkia) usimuamini sana ikiwa sio mtu wako wa karibu. Picha za instagram na interview vinaweza kupangwa tu ili kuhalalisha maigizo.
 
Kuna mmoja alinitumia kimemo.[emoji1787]
"Ishi na watu vizuri.kazi zipo"
Baada ya yy kupata kazi
Nyie haya maisha
Hao ndio wamejaa. Baada ya kutembeza bahasha kwa miaka mingi akija kupata wewe ambaye hujapata anakwambia mbona kazi zipo sema hujaamua tu. Maskini kashasahau alikotoka.

Mara nyingi hawa waliozLiwa familia maskini ghafla bin vuu wakapata fursa🤣🤣

Huwezi kumkuta Rizione wa kikwete anaongea ujinga kama huo wa kutwezana
 
Uk
Ukimjua mtu wa hivyo kaa mbali na yeye mwache aishi kivyake achana na urafiki wa hivyo na pia mtu akishatusua ww bado mzee baba hakuna urafiki tena. Kwa maana urafiki unachangamka ikiwa mnafanya kazi sawa
 
Binadamu tukipata nafasi tuwe na maneno.mazuri na pia tuwasaidie wenye kuhitaji msaada wetu. Kuna muda unakwama mtu una mwomba hata mshikaji, ndugu au jamaa tu karibu au hata jirani akupe mchongo au akipata mchongo akumegeee pande hayo majibu sasa aisee utakoma maana bora hata ungekaa kimya.

Kuna kipindi nilikua na hustle nipate pakujishikiza maana hata vocha ilikua mbinde sasa bwana nikamcheki ndugu mmoja japo wa mbali ila tumezoeana nikamueleza kiume bwana. Bro moja mbili tatu nimekwama hali tete akajibu poa acha kuna mambo yakae sawa tupo pamoja uhakika. Nikategemea mzee nikimuuliza vp.bro yale mambo.yetu anaruka ruka mwisho nkaona status whatsApp "jasho la mtu haliliwi bure" Duh sasa ndio nikajiuliza nimeomba kazi sio.hela hapo vipi jasho la mtu nalilaje..? But ok this life tunapitia mengi kwenye hustlin mpaka kusimama.

Ila mtu wa namna ya kuleta dharau na kejeli unamuacha tu kiroho saafi bila chuki. Lets keep grinding
 
Mshamba huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…