Cha msingi sio elimu kwa maana ya Paper Qualifications. Hata kama una degree 10 lkn bado unaogopa kukubali uchaguzi huru tu tena wa serikali za mtaa, sasa hizo Paper Degrees zina faida gani? Si ni takataka tu.
Hata Mugabe (Rip) alikuwa nazo sijui sita lkn kafa nazo na hata hazikumsaidia wakati akiitawala Zimbabwe kibabe. Hizo degrees zinafaa sana kwenye research huko lkn kwenye uongozi hazisaidii sana.