Baadhi ya marais wenye elimu kubwa Afrika, Rais Magufuli ashika namba tano

Baadhi ya marais wenye elimu kubwa Afrika, Rais Magufuli ashika namba tano

Juzi kwenye ziara yake ya kikazi pale Iringa wakati anazungumza na wanazuoni mkwawa university alishindwa kutamka neno enterprenuership...

Kuna mwalimu wetu chuoni wakati tunafanya mitihani alipenda kutuambia "Wee angalizia nisipokukamata utakamatika huko mbele ya safari" ndio sawa na sizonje kang'ang'ania kubeba Doctor of philosophy wakati uwezo nayo hana

Vitu vya bure hasara sana.
 
Kwani habari inasemaje?
Soma uelewe kabla ya kuna kuquote
Nadhani kama wewe ulivyoquote kabla ya kuelewa!! Eti msomi kuliko wote Africa sifa za kijinga na kijuha kabisa. Ukaenda mbali eti upande wa pili watasema fyokofyoko ndio wa kwanza!! Mamaezenu, Clinton alikuwa na Elimu gani?
 
Weka basi picha yako kwenye profile ili mkulu akupe cheo chochote, anawapenda watu km nyie mliowehuka.
 
Kweli jiwe ni Raisi msomi kuliko wote Africa lakini elimu aliyo nayo haijamsaidia.
Huwezi kutofautisha kati yake na Lusinde,wana ufahamu na uelewa unao shabihiana.
 
Safi jpm,
Hii habari mbaya sana upande wa pili wa shilingi, utaambiwa mwenyekiti wa ufipa ndio msomi nambari wani afrika[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wait
Je wajua duniani Rais msomi, aliyetumia English kupata mpk degree na asiyejua English kuongea ni yy Pumba Maharage. Mpk nchi za nje anaogopa kwenda ili wasitushangae
 
Haiwezi kua kweli mbona anaichezea sana elimu?

Na mbona hajui kuinteract na watu? Au kuchanganua mambo ya nchi zingine?

Mbona hajui rais wa kuwait, Libya na Afghanistan ni nani?

Ooh ok kuna kua msomi halafu kuelimika na ulichosoma.
Hajui kutamka entrepreneurship
 
According to a research done, our President Dr. John Pombe Magufuli is the most educated President in Africa!

I feel proud as an academician, a chemist and as a Tanzanian that my President leads.
Congratulations Mr. President.


 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha utani ww wa kung'ata na kupuliza
 
Back
Top Bottom