Baadhi ya marais wenye elimu kubwa Afrika, Rais Magufuli ashika namba tano

Baadhi ya marais wenye elimu kubwa Afrika, Rais Magufuli ashika namba tano

Ni jambo zuri, Lakini nina mashaka na vigezo walivyotumia. Robert Mugabe vipi?
Mark Ravalomanana vipi naye?
Ni uhandisi, uzamili, uzamivu tu au kuna vigezo vingine?
 
Haiwezi kua kweli mbona anaichezea sana elimu?

Na mbona hajui kuinteract na watu? Au kuchanganua mambo ya nchi zingine?

Mbona hajui rais wa kuwait, Libya na Afghanistan ni nani?

Ooh ok kuna kua msomi halafu kuelimika na ulichosoma.
Unafikir rais wa Kazakhstan anamjua rais wa Burundi?
 
Safi jpm,
Hii habari mbaya sana upande wa pili wa shilingi, utaambiwa mwenyekiti wa ufipa ndio msomi nambari wani afrika[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wait
Kuna marais wawili Tanzania ?
 
Pale chuo cha Iringa kuna rahisi kashindwa hata kutamka neno Entrepreneur!! Sijui ni Jamal Malinzi!!
 
Safi jpm,
Hii habari mbaya sana upande wa pili wa shilingi, utaambiwa mwenyekiti wa ufipa ndio msomi nambari wani afrika[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wait
Alikuwepo Mugabe, kaipeleka wapi Zimbabwe?
 
Back
Top Bottom