Huku ni kutaka kudhalilisha mh na elimu yetu ionekana hamna kitu mbele ya welevu. Critical thinking and argumentation hamna kituHii nimeiona huko YouTube na kui - upload na kuileta hapa kwa mjadala....
Ni maoni yako? Unakubaliana na orodha hii? Rais wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli anastahili kuwa kwenye orodha hii?
Huyu aliyekuja na orodha hii ametumia vigezo gani gani eti? Mbona elimu hususani PhD ya Rais wetu inakuwa challenged sana na wadau hapa Tanzania to the extent that wengine wamepoteza maisha kwa ajili ya kuhoji hili?
Well, watch and listen to it 👇 🙂👇🙂🙂
View attachment 1263282
Hii nimeiona huko YouTube na kui - upload na kuileta hapa kwa mjadala....
Ni nini maoni yako? Unakubaliana na orodha hii huku Bw John Pombe Magufuli akiwa - top kwenye orodha?
Na je, Rais wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli anastahili kuwa kwenye orodha hii?
Huyu aliyekuja na orodha hii ni nani na ni wa wapi na ametumia vigezo gani gani eti kuja na orodha hii?
Mbona elimu yake hususani PhD ya Rais wetu imekuwa very much challenged na wadau mbalimbali hapa Tanzania to the extent that wengine wamepoteza maisha kwa ajili ya kuhoji hili?
Well, watch and listen to it [emoji116] 🙂[emoji116]🙂🙂
View attachment 1263282
Wewe ni ngumbaro,wala hujilikani kama no binadamu ama nyaniTundulisu amekuwa wa 9763
Wewe ni ngumbaro,wala hujilikani kama no binadamu ama nyani
Kumbe dogo ulikuwa fala hivi enzi zile ukiwa unaitwa Nanyupu.
Uzi tayari.?Mheshimiwa Rais wetu JPM ni msomi kuliko marais wote africa. Nichukue fursa hii kumpongeza kwa hatua hii. Tunahitaji Rais msomi sio wapia porojo wa vijiweni kama akina fulani.
Zaidi:-
Halla kwa Ben Saanane popote alipo,tunakumiss sana.Mheshimiwa Rais wetu JPM ni msomi kuliko marais wote africa. Nichukue fursa hii kumpongeza kwa hatua hii. Tunahitaji Rais msomi sio wapia porojo wa vijiweni kama akina fulani.
Zaidi:-