Baadhi ya maswali yaliokosa majibu Kwenye Soka


Kama ni examination ungewin 100/100
 
Kila kombe la dunia likifanyika anaonekana pele tu unajua why fifa wanamtambua pele kama mfalme wa football duniani hizo nyingine ni ngonjera tu

Hujui ukisemacho ilimradi uonekane na wewe umechangia
 
Kumfananisha Gaucho na Zidane ni kumtukana Gaucho, Gaucho ni namba nyingine na ndio maana hukuwahi kusikia mtu yeyote akijifananisha nae. Alikuwa anachezea mpira kama kazaliwa nao. Japo Zidane naye alikuwa fundi lakini hakuwahi kufikia ufundi wa Gaucho
 
hakuna wa kumlinganisha na ronaldinho mpaka sasa, unaweza kumlinganisha kwa baadhi tu, mfano ufungaji wa ronaldinho na mchezaji fulani lakini sio kipaji chake, alikua na kipaji cha pekee huyu super

Henry na gaucho Who more?
 

Kula like
 
Ninachokiona hapa ni kwamba kati ya gaucho v zizzou ni vita kali ila naamini kila mmoja ana sifa zinazofanana ingawa hii ndio tofauti kubwa kati yao dinho ni fundi wa kuuchezea mpira dimbani lkn amewahi kuchuja mapema kutokana na skendo zizzou hajawahi kuchuja ktk maisha yake yote ya soka tafakari ndg
 
Anzisha thread yako, usituchafulie uzi
 

Staff moderator...una ushaidi upi juu ya gaucho? Maana kuna maswali humu yametolewa kuhusu gaucho, but hakuna hata mmoja aliyeleta ushaidi! Cossovoman kauliza Questions kibao hakuna aliyeleta ukweli,ushaidi wala takwimu.

Tunaomba ushaidi plz!
 
Hakuna wakulinganisha na PELE ktk soka wengine wanafuata. Ubora wa mchezaji ni mchanganyiko wa mambo mengi ikiwemo vikombe hasa vya kombe la dunia.
 
Hakuna kama pele katika hii dunia na wala sidhani kama atakuja kutokea kwa sababu mess ameshindwa kufikia hata nusu ya ubora wa pele
1 pele
2 messi
3maradona
4romario
5bebeto
6ronaldinyo
7 c. Ronaldo
8zidane
9ronaldo de lima
10robeti bagio
11hiristo stoichcov wa barcelona
Hiyo list yangu unaruhusiwa kubisha
 
Kwa maana ya full package footballer, Gaucho hana mfano, mcheza mpira lazima uwe na vitu adimu uwanja vya kufurahisha mbali na kufunga magoli.
Gaucho mara nyingi hayo madoido yake alikuwa anafanya akipamba na wachezaji au timu dhaifu, zizzou yeye mechi muhimu au ngumu ndio utamuona yule jamaa ni mnyama, hivi unafiriki wazungu ni wajinga wampange zizzou mchezaji bora na namba tatu wa wakati wote na gaucho namba 31( kumbuka zizzou sio na gaucho naye sio mzungu)
We unafikiri kwann kila brazil akimbana na france wakati ule walikuwa hawapumui ?
 

Wewe hujui ukiongeacho,ilimradi tu na wewe uonekane umechangia!

Siwezi kubishana na wewe uliyezaliwa 1994 unanipotezea muda, hao wachezaji uliowataja hawamo hata 30 bora. Wewe unaonekana ni mshabiki wa timu flan ndiomaana umewajaza hao vilaza wasiojulikana katika media,fifa na mashabiki duniani.

Hapo best players ni 1-Messi 2-Diego 3-Zidane 4-pele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…