Baadhi ya maswali yaliokosa majibu Kwenye Soka

Baadhi ya maswali yaliokosa majibu Kwenye Soka

1-Aseee Maradona kakuta mpira ushakomaa,Enzi za pele hata offside hakuna.


2-Messi na Ronaldo kiukweli messi kafanikiwa sana kuliko Ronaldo kwa ngazi ya vilabu,Messi ni kipaji halisi...

3-Kwa iyo List ni Ronaldo aliyefanikiwa sana Kwa Epl mpaka kuchukua Ballon Dor


4-Inavyosemekanaaa Materaz alimtukana Zidane kuhusu dada ake lakini mwenyew alikanushaa kwenye kitabu chake....


5-Acha kabisa barca ya 2009-2011 imetesa wengi bana,nazani ndo timu ambayo ukiingia kucheza yao unajua ushafungwa...


6-Frank Lampard na Steve G kama mafuta na maji hawawez kukaa pamoja labda kama wangecheza kwa pamoja muda mrefu yan ngazi za filabu,kuhusu mafanikio England hainaga mafanikio tangu 1966


7-Kwa ufundi Gaucho ila zidane ndo mchezaji aliyekamilika zaidi kww wachezaji niliobahatika kuwaona.

Kama ni examination ungewin 100/100
 
Kumfananisha Gaucho na Zidane ni kumtukana Gaucho, Gaucho ni namba nyingine na ndio maana hukuwahi kusikia mtu yeyote akijifananisha nae. Alikuwa anachezea mpira kama kazaliwa nao. Japo Zidane naye alikuwa fundi lakini hakuwahi kufikia ufundi wa Gaucho
 
hakuna wa kumlinganisha na ronaldinho mpaka sasa, unaweza kumlinganisha kwa baadhi tu, mfano ufungaji wa ronaldinho na mchezaji fulani lakini sio kipaji chake, alikua na kipaji cha pekee huyu super

Henry na gaucho Who more?
 
Maradona ni hatari zaidi ya Pele.

Messi hana mfano wake.

Barca ya 2009-11 ni timu hatari zaidi kuwahi kuishuhudia.

Lampard na Gerrard hawakuwahi kuwa world class midfielders na ndio maana walifeli.

Thierry Henry anabaki kuwa mchezaji bora zaidi wa kigeni kuwahi kucheza EPL.

Zidane akiwa anacheza hakuwa na mpinzani wa kariba yake hivyo Gaucho alijaribu lakini hakufanikiwa.

Kula like
 
Ninachokiona hapa ni kwamba kati ya gaucho v zizzou ni vita kali ila naamini kila mmoja ana sifa zinazofanana ingawa hii ndio tofauti kubwa kati yao dinho ni fundi wa kuuchezea mpira dimbani lkn amewahi kuchuja mapema kutokana na skendo zizzou hajawahi kuchuja ktk maisha yake yote ya soka tafakari ndg
 
Nilidhani unauliza maswali haya:
  1. Ilikuwaje kuwa je huko nyuma mpk soka ukawa mchezo wa timu yenye wachezaji 11 tu!
  2. Kwa nini mistari ya viwanja vya soka ina rangi nyeupe, why not yellow?
  3. Kwa nini wachezaji soka hawavai singlets kama zile za nba
  4. Nini kazi ya vile vibendera?
  5. Kwa nini mpira ukivuka mstari na kuwa goli, wazungu wanasema "back of the net" lkn wamatumbi wenzetu wanasema "ndani ya nyavu" au "ndani ya goli"
  6. Ilikuwaje wakaamua namba za jezi zikae mgongoni, na sio kifuani, kuna wkt refa anamuomba mchezaji ageuke ili aone namba!
  7. Kuna siri gani kwa kadi za referee kuwa red na yellow, wakati soka ni fair play na pia rangi ya amani tunaamini ni white, kwa nn soka haitumii cards mf black na green!
  8. Nini kazi ya lile duara la kati kati ktk uwanja wa soka!
Anzisha thread yako, usituchafulie uzi
 
Kumfananisha Gaucho na Zidane ni kumtukana Gaucho, Gaucho ni namba nyingine na ndio maana hukuwahi kusikia mtu yeyote akijifananisha nae. Alikuwa anachezea mpira kama kazaliwa nao. Japo Zidane naye alikuwa fundi lakini hakuwahi kufikia ufundi wa Gaucho

Staff moderator...una ushaidi upi juu ya gaucho? Maana kuna maswali humu yametolewa kuhusu gaucho, but hakuna hata mmoja aliyeleta ushaidi! Cossovoman kauliza Questions kibao hakuna aliyeleta ukweli,ushaidi wala takwimu.

Tunaomba ushaidi plz!
 
Wewe usipindishe hapa tunazungumzia ubora na si kombe...kama ni makombe ya clubs, world cup maradona kamzidi huyo babu yako, na kama ubora na uchezaji bora wa dunia kuwahi kutokea ni maradona, (rejea kusoma kile kipengele nilichokutumia hapo mwanzo)ukiniambia mwenye magoli mengi ntakukubalia kuwa pele ndio mwenye mengi zaidi, japo magoli mengi ya offside,...kwangu mimi utakesha dogo huwa sichoki
Hakuna wakulinganisha na PELE ktk soka wengine wanafuata. Ubora wa mchezaji ni mchanganyiko wa mambo mengi ikiwemo vikombe hasa vya kombe la dunia.
 
Hakuna kama pele katika hii dunia na wala sidhani kama atakuja kutokea kwa sababu mess ameshindwa kufikia hata nusu ya ubora wa pele
1 pele
2 messi
3maradona
4romario
5bebeto
6ronaldinyo
7 c. Ronaldo
8zidane
9ronaldo de lima
10robeti bagio
11hiristo stoichcov wa barcelona
Hiyo list yangu unaruhusiwa kubisha
 
Kwa maana ya full package footballer, Gaucho hana mfano, mcheza mpira lazima uwe na vitu adimu uwanja vya kufurahisha mbali na kufunga magoli.
Gaucho mara nyingi hayo madoido yake alikuwa anafanya akipamba na wachezaji au timu dhaifu, zizzou yeye mechi muhimu au ngumu ndio utamuona yule jamaa ni mnyama, hivi unafiriki wazungu ni wajinga wampange zizzou mchezaji bora na namba tatu wa wakati wote na gaucho namba 31( kumbuka zizzou sio na gaucho naye sio mzungu)
We unafikiri kwann kila brazil akimbana na france wakati ule walikuwa hawapumui ?
 
Hakuna kama pele katika hii dunia na wala sidhani kama atakuja kutokea kwa sababu mess ameshindwa kufikia hata nusu ya ubora wa pele
1 pele
2 messi
3maradona
4romario
5bebeto
6ronaldinyo
7 c. Ronaldo
8zidane
9ronaldo de lima
10robeti bagio
11hiristo stoichcov wa barcelona
Hiyo list yangu unaruhusiwa kubisha

Wewe hujui ukiongeacho,ilimradi tu na wewe uonekane umechangia!

Siwezi kubishana na wewe uliyezaliwa 1994 unanipotezea muda, hao wachezaji uliowataja hawamo hata 30 bora. Wewe unaonekana ni mshabiki wa timu flan ndiomaana umewajaza hao vilaza wasiojulikana katika media,fifa na mashabiki duniani.

Hapo best players ni 1-Messi 2-Diego 3-Zidane 4-pele.
 
Back
Top Bottom