Baadhi ya miradi ya uwekezaji inayoweza kufanywa na wastaafu

Eeeeh ndiwoooo!
 
Natoa USHAURI NASAHA kwa wanao tarajia kustaafu hivi karibuni ,Wenye msongo wa Maza, baada ya kuwa WALISTAAFU WAKAISHIWA MAFAO KABLA HAWAJAFANYA LA MAANA.!!!!
 
Umenifurahisha! Hivi unadhani kianzio kinatoka wapi? Kustaafu kusikie kwa mwenzako. Kwa upande wetu kustaafu ni kubadili ajira kutoka katika ajira ya serikali kuingia ajira binafsi ambayo ni ngumu ajabu (own account).
 
Mtumishi una uwezo wa kukopeshwa na Benki Kwa dhamana ya mshahara

Lakini ukishaanzisha biashara, unakopea biashara yako pia

Ukisema usubiri Mtaji uupate baada ya kulipwa kiinua mgongo, lazima maisha yakuchakaze Mkuu

Tuchukue tahadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…