Yes. Umeona mbali.Huyu dada inaonekana alitaka kuliuza pekee yake hilo ghorofa au kumkabidhisha mme wake kufaidi yeye na watoto wake kumbe ndugu wakashtuka mapema tuuze kila mtu afe na chake maana watu watakufa je ghorofa wajukuu watahusishwa kurithi mali hiyo akili kumkichwa!!
Shukuru Mungu.Mimi kwetu mtoto wa kwanza, na hiyo mijumba ya urithi ipo kuanzia Oysterbay, Mbezi Beach (several), Mbwamaji, mpaka mikoani.
Mashamba na viwanja ndiyo nahitaji spreadsheet la excel kuyalist.
Lakini, nimetafuta mwenyewe nyumba zangu Marekani na kuongeza.
Na nimewaambia nyumbani kwenye mambo ya urithi sitaki mali, nikipewa michoro ya kiinjinia aliyochora mzee wangu, na vitabu vyake fulani muhimu alivyovipenda, nitafurahi tu.
Nina matatizo ya kifalsafa na mali za urithi.
mtoto wa kike akikatalia nyumbani anamkuwa yeye ndio mama na anawatafutia baba..watakomba rasilmali zote kwa hila ..kuna kesi ina miaka 20 hapa bubiki shinyanga mwanake kazalia nyumbani kamiliki mashamba ngombe na uridhi wotw wa babake ...kwa kigezo alikuwa akimhudumia....hatari na nusu wajukuu ndio wamiliki wa majumba na mali zote
Kumbe ni hivyo acha nyumba wauze tu Kwa mtindo huo wengine Wanaona hawapatNipo Kariakoo, anaesimamia hiyo nyumba ni dd yao. Ishu ni kua anawapiga ndugu zake. Mfano frem ni 1,000,000 anawaambia wenzake kodi ni 600,000. Hiyo ndo shida
Kuna familia moja wako obay wana mgogoro mkubwa unaenda miaka zaidi ya 10Mimi kwetu mtoto wa kwanza, na hiyo mijumba ya urithi ipo kuanzia Oysterbay, Mbezi Beach (several), Mbwamaji, mpaka mikoani.
Mashamba na viwanja ndiyo nahitaji spreadsheet la excel kuyalist.
Lakini, nimetafuta mwenyewe nyumba zangu Marekani na kuongeza.
Na nimewaambia nyumbani kwenye mambo ya urithi sitaki mali, nikipewa michoro ya kiinjinia aliyochora mzee wangu, na vitabu vyake fulani muhimu alivyovipenda, nitafurahi tu.
Nina matatizo ya kifalsafa na mali za urithi.
Kuna familia moja wako obay wana mgogoro mkubwa unaenda miaka zaidi ya 10
Hao watoto wanavyotifuana ni
Balaa
Ova
Kugombea mali za familia ni kama vile umekubali kwamba wewe huwezi kutafuta zako.Kuna familia moja wako obay wana mgogoro mkubwa unaenda miaka zaidi ya 10
Hao watoto wanavyotifuana ni
Balaa
Ova
Shekh ubwabwa huyo, funzo tusiwaamini sana viongozi wetu wa diniHalafu mbona wameachiwa mali tu, frem unapokea kodi na bado nyumba nzuri hiyo kila mmoja ana sehemu yake tamaa za nini?
Huyo Sheikh ndio kaniacha hoi, unashiriki kuuza nyumba ya ibada?
Kugombea mali za familia ni kama vile umekubali kwamba wewe huwezi kutafuta zako.
Shekh ubwabwa huyo, funzo tusiwaamini sana viongozi wetu wa dini
Nyumba iko obayWanagombania nyumba ya obey ama wanagombania nini ?