Baadhi ya ndugu wauza nyumba ya familia Kariakoo iliyokuwa na waqfu. Mapanga yatembea nje nje

Nipo kwenye nafasi ya ushauri wa suala la biashara fulani ya vijana 2.

Je Kama ungekuwa kwenye miaka 20 hapo, na una nafasi ya umiliki wa eneo lenye potential kiasi chake.

Ukisema uli pangishe ni Kama kutoa sadaka tu, ila kuuza ni Kama una pata mtaji wa maana.

Je ungeuza mkuu au unge endelea kuli miliki, akati mambo yako yapo ndivyo sivyo??

Kwanza kabisa mimi si mtaalamu wa mambo ya ushauri wa kiuchumi na hapa tunapeana elimu ya kiujumla tu, si ushauri wa kitaalamu.

Na pengine kuna haja ya kumtafuta mtaalamu, hususan kama hela zitakazohusika ni nyingi.

Ni vigumu kutoa ushauri wa uhakika bila kupata habari zaidi. Kwa mfano, uhitaji wa pesa ni wa dharula kwa kiasi gani?

Kiujumla, ushauri mzuri kuhusu mambo ya ardhi yenye potential si kuuza, ni kukodisha, au, kutegemea na hati kama zipo, ukubwa na uzuri wa eneo, kutumia ardhi kama collateral katika kuchukua mkopo (hapo unaweza kumaliza tatizo la kupata pesa za kufanyia kazi nyingine bila kuuza hiyo ardhi).

Kwa hivyo, kuna namna ya kuendelea kulimiliki hilo eneo, na pia kupata namna ya kuondoka kwenye matatizo ya kifedha.

Matajiri wengi hununua mashamba makubwa, si kwa sababu wanataka kuyatumia kulima sana, bali kwa sababu wanataka kuyatumia kama collateral katika kuchukua mikopo.
 
Uhitaji wa pesa ni wa kawaida tu, ila shida hili eneo lao Lina kuwa na mambo mengi kidogo.

Ndugu wa ukoo wa mzee wao Wana litolea uchu, fitna na mzozo ina kuwa mingi.

Kuli chukulia Mkopo kwa Hawa vijana, naona ni Kama kuwazamisha, my last say ni labda wauze tu.

Nafasi ya kupata fungu na kufanya vitu vingine, Ina wezekana kabisa.
 
Kama eneo ni linafika zaidi ya biln 2,3 uza tu ufanye mambo mengine...wapishe wenye visu vikali wafanye wanayoyajua,wee kawatafute wanyonge wako uwaondoe pia
Ila kumbuka pesa inataka msimamo na nidhamu ,maamuzi sahihi

Ova
 
Mkuu ungekuwa wewe na uko mid 20 kazaa ya mwanzoni hapo.

Ungeuza na ujenge nyingine, au unge invest Kisha uendelee kusoma mchezo
Unapouza mali kuna mawili
Kuna kufanikiwa na usipokuwa na akili kuna kufeli
Mfano tu nakupa,kuna mama yangu mmoja ila sahv ni marehemu,mama mwanukuZi
Alikuwa na eneo pembezoni mwa barabara ya kuelekea Victoria
Kila nkikutana naye alikuwa ananiambia hilo eneo lake anafikiria kuja liuza akipata offer nzr...maana yy hawezi kupaendeleza zaidi
Nkamwambia suala la uwekezaji,lkn hakuwa interested
Alikuja kupabetua pale bln 4 hivi
Mama alikuja nunua nyuma kadhaa mbezi beach,kinondoni,mwananyamala jirani na kanisa la rc ...akavuta ndiga 2 za maana toyota pale
Akabaki na mpunga...wToto wake aliwakatia hela pia
Mm mwenyewe nlikuvuta hela kwake....maana yule mama alikiwa ananikubali sana
Kwa hiyo unapofanya jambo la kuzuuza mali yako lazima uwe na hesabu kali

Huyo mama namjua..si mama yake na Basila, miss Tanzania wa zamani
 
Huyo mkinga naye kanunua nyumba kiboya, nyumba ya urithi kama walivyosema wadau haiuzwi kienyeji hivyo bila kupata hati ya ridhaa ya watoto wote ambayo imesainiwa kisheria (wakili au mahakama).
Sio kweli ,kuna kitu hakiko sawa hapa,mkinga hawezi kuwa mjinga kiasi hicho,hii kesi nataka kuifananisha na kesi iliyo kwenye familia yangu,hapa nahisi huenda kuna document eidha hati ambayo iko kwa jina la huyo sheikh na ndo maana kauza,huenda mzazi wao aliamua kukata hati ya nyumba kwa jina la mtoto mmoja aliye kipenzilicha ya nyumba kuwa ya familia,na inavyoonekana pia dada mtu hataki nyumba iuzwe ilikhali document ziko kwa jina la sheikh.

Inaonesha pia sheikh aliwashirikisha nduguze ila huyo dada akawa amegoma hivyo kutokana na document za hiyo nyumba kuwa kwa jina la sheikh akaamua kuuza na hivyo dada mtu hajaridhika
 
Kwa kod anazowapiga wenzie, kwenye frem za electronics na wauza saa. Huyo dd ana masharti Kinoma kwenye nyumba yake
1. Nyumba una ghorofa 5 huko juu kuna store wa awake hawaruhusiw kupanda bila kujifunika kuchwa
2. Ni mkubwa ila ukimsalimiia shkamooo mnakosana
3. Ukifunga frem usije siku hiyo bila kumwambia ni kosa
4. Sio ruhusa kufunga mapema
5. Huruhusiw kwenda kwenye frem ya mwenzako muongee
Yani masharti ni mengi
Huu ni uwongo umeandika umetumwa kutetea si bure.
 
Mimi kwetu mtoto wa kwanza, na hiyo mijumba ya urithi ipo kuanzia Oysterbay, Mbezi Beach (several), Mbwamaji, mpaka mikoani.

Mashamba na viwanja ndiyo nahitaji spreadsheet la excel kuyalist.

Lakini, nimetafuta mwenyewe nyumba zangu Marekani na kuongeza.

Na nimewaambia nyumbani kwenye mambo ya urithi sitaki mali, nikipewa michoro ya kiinjinia aliyochora mzee wangu, na vitabu vyake fulani muhimu alivyovipenda, nitafurahi tu.

Nina matatizo ya kifalsafa na mali za urithi.
Ubarikiwe sana kuwa na hekima na busara........ikikupendeza mkuu kiranga tupeane michongo iliyopo uko majuu,mie ni fundi umeme nipo kwenye kampuni ya real estate
 
Huyo mkinga naye kanunua nyumba kiboya, nyumba ya urithi kama walivyosema wadau haiuzwi kienyeji hivyo bila kupata hati ya ridhaa ya watoto wote ambayo imesainiwa kisheria (wakili au mahakama).
Mkinga aliaminishwa na muuzaji kwa kuambiwa hawa ndugu zangu wengine nitamalizana nao usijali
 
Unapouza mali kuna mawili
Kuna kufanikiwa na usipokuwa na akili kuna kufeli
Mfano tu nakupa,kuna mama yangu mmoja ila sahv ni marehemu,mama mwanukuZi
Alikuwa na eneo pembezoni mwa barabara ya kuelekea Victoria
Kila nkikutana naye alikuwa ananiambia hilo eneo lake anafikiria kuja liuza akipata offer nzr...maana yy hawezi kupaendeleza zaidi
Nkamwambia suala la uwekezaji,lkn hakuwa interested
Alikuja kupabetua pale bln 4 hivi
Mama alikuja nunua nyuma kadhaa mbezi beach,kinondoni,mwananyamala jirani na kanisa la rc ...akavuta ndiga 2 za maana toyota pale
Akabaki na mpunga...wToto wake aliwakatia hela pia
Mm mwenyewe nlikuvuta hela kwake....maana yule mama alikiwa ananikubali sana
Kwa hiyo unapofanya jambo la kuzuuza mali yako lazima uwe na hesabu kali

Ova
Mwanae baada ya mpunga akanunua fj...bdae kaja kufanya kazi ya kishenzi ccm wkti yeye ndio mbeba pochi wa mama
 
Back
Top Bottom