maishamagumutanzania
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 221
- 65
Hii ndio elimu yenyewe..
Sio ile ya kukremishana mambo yasiyo na faida yoyote isipokuwa kupata grade 'A'.
Damn, I hate school!!
Juma WALEO capital si tatizo, kinacho tusumbua ni udhubutu, hapo ndo kuna taabu mkuu, Capital kubwa kuliko zote ni Sprit uliyo nayo, Unaweza fika mbali sana endapo utakuwa kweli na dhamira ya kufanya hivyo, Watu wengi walianza bila mitaji na sasa wako mbali sana, Mtaji mkubwa ni afya yako, ni akili uliyo pewa na mwenyezi mungu na kazalikamkuu umetisha sana!
how 2 get capital ndo tatizo