kumbe Numbisa unatoaga maoni mazuri hivi ila unajitoaga ufahamu na "Duh aisee" zako.Kama hakupewa taarifa basi atulie anafoka foka nini mtoto si wao afate taratibu apewe jina la ukoo wake. Saa nyingine mnaepushiwa laana za ulevi kwa jina kuchepushwa
kama baba kasema mimba haitambui iyo mimba hapo baba kajitoa mwenyewe mma anaweza kufanya ustaarabu mwengine.Vipi kama huyo baba alipelekewa mimba akaikataa kuwa haitambui?
Hakuna aliye kulilia punguza mambo ya kike hapa tunajadiliana, ww sindo mtetezi mkubwa wa maujinga ya wanawake humu?Jikite kwenye mada na sio kuanza kulilia watu hapa. Ukibadili ubini basi hudumiwa na huyo mwenye ubini na sio tena kutaka familia ya baba halisi ikusaidie.
Eeh Yuko sawa Babu,akatumie za kwao,alaah!Huu ni ujinga wa hali ya juu. Kama mtoto ni wa Popoma muite Clara Popoma badala ya kumpa ubini usio wake.
Single mama baadhi yenu mnawapa ubini wa baba zenu kitu ambacho sio sawa. Hasira zako kwa aliyekupa mimba hazimhusu mtoto.
Yule ni baba yake wa damu hivyo ni haki ya mtoto kuitwa kwa jina lake. Ugomvi wenu usimhusishe mtoto.
Nimeandika kwa hasira baada ya mtoto mmoja wa kike kukosa msaada kwa babu yake baada ya babu kuona mjukuu anatumia ubini wa kwa mama. Kijana wa huyu mzee alizaa na binti na hawakuoana.
Na kijana ni mtu mpuuzi na mlevi ambaye katelekeza damu yake. Baada ya mwanamke kuona mambo magumu ndo akaamua kwenda kwa mkwewe kuomba msaada.
Yule dingi hakuwa na noma ila akatibuka vibaya baada ya kuona mjukuu wake hatumii jina la ukoo wao.
Akasitisha huduma zote na kutaka jina libadilishwe kwanza.
Hata kitendo cha kukataa kutoa matunzo kwa mtoto ni ishara tosha kuwa huyo mtoto umemkana.kama baba kasema mimba haitambui iyo mimba hapo baba kajitoa mwenyewe mma anaweza kufanya ustaarabu mwengine.
Mbona kaenda mwenyewe huyu single mom!Huyo Babu ndezi tu alitegemea kubembelezwa wakati hawakulea hata mimba wala kutoa kifuta jasho kwa wazazi wa mwanamke. Azile tu mtoto akikua asije mlaumu kwa kumtelekeza
Haaa lakini dini yako inasema mtoto wa nje ya ndoa ni mtoto wa mama ww baba hakuhusu.Hata mimi ningekua Babu nisingetoa huduma kwanza singo Mama wengi ni watu wasio ma shukran ukitoa msaada shida yake ikaisha anaenda kumjaza mtoto maneno ya chuki kuwa hata Babu yako ana uwezo ila hakusaidii
Ndiyo mtoto wa nje ya ndoa ni mtoto aliepatikana bila uadilifu wewe unaejiita Baba huna hata haki ya kumuozesha wala yeye mtoto hana haki ya kurithiHaaa lakini dini yako inasema mtoto wa nje ya ndoa ni mtoto wa mama ww baba hakuhusu.
Hatuwezi fumbia macho ujinga.Wapumzisheni Hawa single mama hamjui masaibu wanayokumbana nayo ata akimuita vyovyote ni sahihi as long as hajavunja Sheria za nchi
Jikite kwenye mada. Hayo mambo ya kukataa mimba ni mada nyingine. Hapa tunaongelea mtu ambaye hajakataa mtoto ila matunzo hatoi hadi babu wa mtoto kuanza kusaidia ila naye akajitoa baada ya kugundua mtoto hatumii ubini wa baba yake.Hakuna aliye kulilia punguza mambo ya kike hapa tunajadiliana, ww sindo mtetezi mkubwa wa maujinga ya wanawake humu?
Tatizo lipo kwa huyo dada aliye kataa kuita ubini wa baba mtoto hali yakuwa familia husika haijakataa kutoa matunzo kwa mtoto.
Mm nina waongelea vijana wa hovyo wanao zalisha hovyo alafu hawataki kulea saa nyingine mpaka mimba wanazikataa, hivi ww ni msichana umepewa mimba na jamaa ukamuambia akaikataa na kusema haitambui hiyo mimba utafanyaje ?
Udanganyifu unaofanywa na wake za watu kwenye ndoa zao kuhusu watoto huwa ni wa muda tu, baadae Mama mwenye akili lazima atamwambia mtoto wake asili yake imetoka wapi, ndiyo maana kuna wa baba wawili tu, Baba mzazi, na baba mlezi, ila baba mzazi ni mmoja tu!!Huyo umesha muita yatima ina maana mzazi wake hayupo wenda angekuwepo angeweza kutimiza majukumu yake.
Nimekuuliza huo ubini ni muhimu kwa mtoto kuliko matunzo ya mtoto?
Yaani ww unaona mtoto ana haki ya ubini wa baba yake ila hana haki ya kupata matunzo kutoka kwa baba yake una akili kweli ww?
Mbona kwenye ndoa zenu wamejaa watoto wasio kuwa wa wenu na wanaitwa ubini wenu na si wa baba zao halisi?
vipi wale wanao kataa mimba utamuitaje mtoto ubini wa baba aliye sema hamtambui?
KUna mwanamke mmoja aliolewa na kaka angu lakini waliachana baada ya bro kufukuzwa kazi na yule mwanamke akaolewa na mwanaume mwingine, wakati huo walikua wamezaa mtoto ambae alikua bado mdogo sana nafikiri mwaka mmojaHuu ni ujinga wa hali ya juu. Kama mtoto ni wa Popoma muite Clara Popoma badala ya kumpa ubini usio wake.
Single mama baadhi yenu mnawapa ubini wa baba zenu kitu ambacho sio sawa. Hasira zako kwa aliyekupa mimba hazimhusu mtoto.
Yule ni baba yake wa damu hivyo ni haki ya mtoto kuitwa kwa jina lake. Ugomvi wenu usimhusishe mtoto.
Nimeandika kwa hasira baada ya mtoto mmoja wa kike kukosa msaada kwa babu yake baada ya babu kuona mjukuu anatumia ubini wa kwa mama. Kijana wa huyu mzee alizaa na binti na hawakuoana.
Na kijana ni mtu mpuuzi na mlevi ambaye katelekeza damu yake. Baada ya mwanamke kuona mambo magumu ndo akaamua kwenda kwa mkwewe kuomba msaada.
Yule dingi hakuwa na noma ila akatibuka vibaya baada ya kuona mjukuu wake hatumii jina la ukoo wao.
Akasitisha huduma zote na kutaka jina libadilishwe kwanza.
Sheria inasema kama Mama mtoto hana uhakika wa Nani ni Baba mtoto anatakiwa jina la Baba mtoto aliandike Ajulikani,mfano mtoto anaitwa John jila la Baba ataitwa Ajulikani.Vipi kama huyo baba alipelekewa mimba akaikataa kuwa haitambui?
Mtoto wa kijana wako mlevi unamkomoa niniHata mimi ningekua Babu nisingetoa huduma kwanza singo Mama wengi ni watu wasio na shukran ukitoa msaada shida yake ikaisha anaenda kumjaza mtoto maneno ya chuki kuwa hata Babu yako ana uwezo ila hakusaidii
Ulifanya vyema. Kuna single mama wengi wapuuzi mnoKUna mwanamke mmoja aliolewa na kaka angu lakini waliachana baada ya bro kufukuzwa kazi na yule mwanamke akaolewa na mwanaume mwingine, wakati huo walikua wamezaa mtoto ambae alikua bado mdogo sana nafikiri mwaka mmoja
Hapo kati kuna jitihada za familia zilifanywa kupata access ya mtoto lakini yule mwanamke aliweka uzibe. Miaka imeenda broo amefariki. Mwanamke aligoma mpaka mtoto kuja kwenye msiba na arobaini ya baba ake. Familia tukaona haina shida mtoto akiwa mkubwa atajua ana ndugu zake, akiamua kututafuta au kutupotezea ni maamuzi yake
January kanitafuta yule mwanamke anasema mambo yake yameyumba kidogo nimsaidie kulipa ada ya mtoto. Nikasema sawa nikamwambia anitumie jina la mtoto na jina la shule na namba ya akaunti ya benki nikalipe benki Ile kutuma jina la mtoto naona hana ubini wa broo, nikamwambia silipi iyo ada
Mpeleke kwa Babu yake uliempa jina lake, mbona njaa imezidi hadi unamleta kwangu tena wakati hatumii jina langu?Mtoto wa kijana wako mlevi unamkomoa nini