Baadhi ya Single mama acheni tabia mbaya ya kuwapa watoto ubini wa kwenu badala ya baba zao halisi

Mpeleke kwa Babu yake uliempa jina lake, mbona njaa imezidi hadi unamleta kwangu tena wakati hatumii jina langu?
Labda anataka kupiga kote kote,kule kwa baba mlezi na huku kwa baba mzazi, na bado hujui labda kuna wababa wengine zaidi nao wanapigwa matunzo fake ya mtoto fake!!
 
Nasoma comment tu...
japo kuna kidada kilienda na ujauzto wang afu kiliambia kinatoa ujauzto nikakikemea sana.

Naskia kimejifungua, nakipgia simu kinakataa hakina mtoto, na cjui mtoto ubin kapewa wangu au lah!

Kibaya zaid hakitaki matumiz wala huduma yoyote toka kwangu tangu kikiwa ujauzto(tupo mbali) kwa kudai hana ujauzto.

Numbisa tumfanyaje huyu
 
Mpotezee atarudi mbeleni. Huyo alikutumia kama sperm donor tu. Ni wale single mothers by choice au ana mtu wake kambambikizia huyo mtoto

Nakazia hapo kuna jamaa kambambikzia.. Ngja tuone miaka ikatike
 
Huyo Babu ndezi tu alitegemea kubembelezwa wakati hawakulea hata mimba wala kutoa kifuta jasho kwa wazazi wa mwanamke. Azile tu mtoto akikua asije mlaumu kwa kumtelekeza
Sasa kama hawakulea, kwa nini uende kuwaomba msaada tena?

Huyo mama mtoto asingeenda kuomba msaada, huo mvurugano usingetokea
 
Labda anataka kupiga kote kote,kule kwa baba mlezi na huku kwa baba mzazi, na bado hujui labda kuna wababa wengine zaidi nao wanapigwa matunzo fake ya mtoto fake!!
Baadhi ya Wanawake walivyo matapeli hawashindwi kutengeneza vyeti feki vya kuzaliwa wakawapa wanaume watatu mtoto mmoja
 
Hakuomba msaada kwa Baba mtu kaenda kwa babu mtu ukute alitaka hata muongozo tu ila wao wakataka kumtawala kimoja. Mkuu ukiombwa ushauri na mtu usitegemee ushauri utakaoutoa ndo utakua muongozo wa maisha yake

Badala ya kukurupuka kukasirika angetumia busara mbona mambo yanaongeleka tu kati yake na mwanamke
Sasa kama hawakulea, kwa nini uende kuwaomba msaada tena?

Huyo mama mtoto asingeenda kuomba msaada, huo mvurugano usingetokea
 
Ndiyo mtoto wa nje ya ndoa ni mtoto aliepatikana bila uadilifu wewe unaejiita Baba huna hata haki ya kumuozesha wala yeye mtoto hana haki ya kurithi
Sasa mkuu watoto wengi wa masingo mother siwamepatikana kwa uzinzi?
Kwa hiyo kutowapa ubini wa baba zao wako sahihi.
 
Udanganyifu unaofanywa na wake za watu kwenye ndoa zao kuhusu watoto huwa ni wa muda tu, baadae Mama mwenye akili lazima atamwambia mtoto wake asili yake imetoka wapi, ndiyo maana kuna wa baba wawili tu, Baba mzazi, na baba mlezi, ila baba mzazi ni mmoja tu!!
Kiufupi ubini hauna maana yeyote kwa mtoto hasa kwenye hii dunia ya sasa ila kwa sababu sisi waafirica ni jamii yenye tabia ya kutilia maanani mambo yasiyo na maana alafu yenye maana hatuna muda nao.
Kitendo cha mtoto kuzaliwa na ukadhibitisha kabisa kuwa huyu mtoto ni wako alafu ukamtelekeza ni sawa umemkana kabisa.
Hivi leo hii ww ungekuwa mtoto wa mtaani, tangu uzaliwe hujawahi kumuona baba yako unamsikiaga tu yupo sehemu fulani alafu akajitokeza mtu akakuambia nikuchukue nikutunze
,nikusomeshe, nikutengenezee maisha kama mtoto wangu ila kuanzia leo ukane ubini wa baba yako utumie ubini wangu au ubaki mitaani ukiteseka ww utachagua kipi?

Vijana wasasa huko mbeleni tutakuja kupata tabu ya kukanwa na watoto wetu kwa sababu ya huu ujinga wetu wa kuzaa watoto na kuwatelekeza eti wakikuwa watanitafuta.
Sasa hivi wazazi wanahangaika kusomesha watoto lakini akisha kuwa na kujitegemea hana muda na ww sembuse ww uliye mtelekeza?
 
Jikite kwenye mada. Hayo mambo ya kukataa mimba ni mada nyingine. Hapa tunaongelea mtu ambaye hajakataa mtoto ila matunzo hatoi hadi babu wa mtoto kuanza kusaidia ila naye akajitoa baada ya kugundua mtoto hatumii ubini wa baba yake.
Ndo maana nimekuambia kuwa huyo binti ndo mwenye matatizo kwa sababu mtoto ukisha mnyima ubini wa baba yake unakuwa umenyanganya huyo mtoto hivyo hutakiwi kumusisha kwa chochote kuhusu huyo mtoto.
 
Sasa mkuu watoto wengi wa masingo mother siwamepatikana kwa uzinzi?
Kwa hiyo kutowapa ubini wa baba zao wako sahihi.
Hakuna mtoto asiyekua na ubini,kitu kibaya ni kumpa mtoto ubini usiokua wake kwa sababu za ubinafsi wa mama wa mtoto!!
 
Kiufupi ubini hauna maana yeyote kwa mtoto hasa kwenye hii dunia ya sasa ila kwa sababu sisi waafirica ni jamii yenye tabia ya kutilia maanani mambo yasiyo na maana alafu yenye maana hatuna muda nao.
Kitendo cha mtoto kuzaliwa na ukadhibitisha kabisa kuwa huyu mtoto ni wako alafu ukamtelekeza ni sawa umemkana kabisa.
Hivi leo hii ww ungekuwa mtoto wa mtaani, tangu uzaliwe hujawahi kumuona baba yako unamsikiaga tu yupo sehemu fulani alafu akajitokeza mtu akakuambia nikuchukue nikutunze
,nikusomeshe, nikutengenezee maisha kama mtoto wangu ila kuanzia leo ukane ubini wa baba yako utumie ubini wangu au ubaki mitaani ukiteseka ww utachagua kipi?

Vijana wasasa huko mbeleni tutakuja kupata tabu ya kukanwa na watoto wetu kwa sababu ya huu ujinga wetu wa kuzaa watoto na kuwatelekeza eti wakikuwa watanitafuta.
Sasa hivi wazazi wanahangaika kusomesha watoto lakini akisha kuwa na kujitegemea hana muda na ww sembuse ww uliye mtelekeza?
Umasikini ndiyo chanzo cha yote hayo, kuna watu wengi tu tena watu wazima wameukana hadi uraia wa nchi zao kisa njaa, lakini hiyo bado aibadilishi asili yako!!
 
[/QUOTE]
Hiyo sheria haina
Nasoma comment tu...
japo kuna kidada kilienda na ujauzto wang afu kiliambia kinatoa ujauzto nikakikemea sana.

Naskia kimejifungua, nakipgia simu kinakataa hakina mtoto, na cjui mtoto ubin kapewa wangu au lah!

Kibaya zaid hakitaki matumiz wala huduma yoyote toka kwangu tangu kikiwa ujauzto(tupo mbali) kwa kudai hana ujauzto.

Numbisa tumfanyaje huyu
Una udhibitisho wa kutosha kuwa hiyo mimba ilikuwa ya kwako?
 
Sheria inasema kama Mama mtoto hana uhakika wa Nani ni Baba mtoto anatakiwa jina la Baba mtoto aliandike Ajulikani,mfano mtoto anaitwa John jila la Baba ataitwa Ajulikani.
Hiyo sheria haina uhalisia wa maisha ya kawaida,mfano Uislamu hauruhu kumuita ubini wako mtoto uliye mzaa nje ya ndoa.
 
Umasikini ndiyo chanzo cha yote hayo, kuna watu wengi tu tena watu wazima wameukana hadi uraia wa nchi zao kisa njaa, lakini hiyo bado aibadilishi asili yako!!
Basi huo ni udhibitisho tosha kuwa ubini sio kitu cha lazima kwenye maisha ya mwanadamu mpaka muwatolee povu mabinti za watu.
Kama ubini wa baba yangu hauwezi kuninunulia chakula, kunisomesha, nikiumwa ukanipatia matibabu,na kunifanya niniishi maisha mazuri kama watoto wengine huo ubini unafaida gani?
 
Hiyo sheria haina uhalisia wa maisha ya kawaida,mfano Uislamu hauruhu kumuita ubini wako mtoto uliye mzaa nje ya ndoa.
Kwa hiyo unataka kusema uislamu ndiyo unakukataza kuitambua damu yako uliopewa na Mungu!!??
 
Hakuna mtoto asiyekua na ubini,kitu kibaya ni kumpa mtoto ubini usiokua wake kwa sababu za ubinafsi wa mama wa mtoto!!
Hivi kati ya baba aliye telekeza mtoto na mama aliye mlea huyo mtoto ni nani mwenye ubinafsi?
 
Kwa hiyo unataka kusema uislamu ndiyo unakukataza kuitambua damu yako uliopewa na Mungu!!??
Ww kumtambua hujakatazwa lakini huna haki yeyote juu ya huyo mtoto na hutakiwi kudai chochote kuhusu huyo mtoto .
 
Huyo Babu ndezi tu alitegemea kubembelezwa wakati hawakulea hata mimba wala kutoa kifuta jasho kwa wazazi wa mwanamke. Azile tu mtoto akikua asije mlaumu kwa kumtelekeza
Mbona comment ina makasiriko nn shida mama,,,
 
Kama hakupewa taarifa basi atulie anafoka foka nini mtoto si wao afate taratibu apewe jina la ukoo wake. Saa nyingine mnaepushiwa laana za ulevi kwa jina kuchepushwa
Naona unaongea kwa hasira za kutelekezewa mimba/mtoto.
Mjifunze kujitegemea na kuwajibika kwa matendo siyo kugeuza miwili njia ya kupata mserereko wa maisha
 
Back
Top Bottom