Baadhi ya Single mama acheni tabia mbaya ya kuwapa watoto ubini wa kwenu badala ya baba zao halisi

Baadhi ya Single mama acheni tabia mbaya ya kuwapa watoto ubini wa kwenu badala ya baba zao halisi

Nasoma comment tu...
japo kuna kidada kilienda na ujauzto wang afu kiliambia kinatoa ujauzto nikakikemea sana.

Naskia kimejifungua, nakipgia simu kinakataa hakina mtoto, na cjui mtoto ubin kapewa wangu au lah!

Kibaya zaid hakitaki matumiz wala huduma yoyote toka kwangu tangu kikiwa ujauzto(tupo mbali) kwa kudai hana ujauzto.

Numbisa tumfanyaje huyu
Huyo ana makosa,ongea naye tunza ushahidi kwa badae
 
Huu ni ujinga wa hali ya juu. Kama mtoto ni wa Popoma muite Clara Popoma badala ya kumpa ubini usio wake.

Single mama baadhi yenu mnawapa ubini wa baba zenu kitu ambacho sio sawa. Hasira zako kwa aliyekupa mimba hazimhusu mtoto.

Yule ni baba yake wa damu hivyo ni haki ya mtoto kuitwa kwa jina lake. Ugomvi wenu usimhusishe mtoto.

Nimeandika kwa hasira baada ya mtoto mmoja wa kike kukosa msaada kwa babu yake baada ya babu kuona mjukuu anatumia ubini wa kwa mama. Kijana wa huyu mzee alizaa na binti na hawakuoana.

Na kijana ni mtu mpuuzi na mlevi ambaye katelekeza damu yake. Baada ya mwanamke kuona mambo magumu ndo akaamua kwenda kwa mkwewe kuomba msaada.

Yule dingi hakuwa na noma ila akatibuka vibaya baada ya kuona mjukuu wake hatumii jina la ukoo wao.

Akasitisha huduma zote na kutaka jina libadilishwe kwanza.
Mambo ya Ngoswe, muachie Ngoswe mwenyewe.

Watanzania wengi ni mabingwa wa kutoa ushauri ambao hawajaombwa, kwa watu wasiowajua, kuhusu mambo wasiyoyaelewa.
 
Mambo ya Ngoswe, muachie Ngoswe mwenyewe.

Watanzania wengi ni mabingwa wa kutoa ushauri ambao hawajaombwa, kwa watu wasiowajua, kuhusu mambo wasiyoyaelewa.
Uko sahihi ndugu mpagani. Ninakuahidi kuipuuza hii comment yako.
 
Uko sahihi ndugu mpagani. Ninakuahidi kuipuuza hii comment yako.
You are a cyberbully. You are bullying me by calling me what I consider to be a pejorative term "mpagani".

Nishakuambia mara kadhaa mimi si mpagani na kuniita mpagani ni ujinga.

Mpagani ni mtu anayeamini Mungu au miungu tofauti na ya dominant cultures za wazungu. Mimi siamini Mungu kabisa hivyo siwezi kuwa mpagani.

Kuna tofauto kati ya atheist na mpagani.

And I am more than just an atheist.

Mimi nakuona wewe mjinga lakini sianzi kila post ninayokujibu kwa kuandika "Wewe mjinga".

Kwa sababu najua kuwa, ingawa wewe ni mjinga kwenye suala hili la mpagani ni nani, lakini pia ujinga huo hau ku define wewe kama mtu, wewe ni zaidi ya huo ujinga wako, ni mtu mwenye sifa nyingi nyingine.

Sasa kwa nini nianze kukuita "Wewe mjinga"?

Sikuiti hivyo.
 
Nashukuru kwa kunielewesha ndugu atheist.
 
Hiyo sheria haina
Una udhibitisho wa kutosha kuwa hiyo mimba ilikuwa ya kwako?
[/QUOTE]
Mkuu naamin 98% koz mim mwenyew tangu anaingia MP nikaanza kumwesabia siku kwa siri, lengo langu likiwa nipate mtoto wa kike.

nakwel kajifungua mtoto wa kike, wanavodai walio kalbu nae.

pili..
nilijua atajifungua mwez wa tatu, sema kajifungua mwez wa pili.

na kuna record ninazo pia akikili nimjazto akikataa nisihucke kwa lolote
 
Back
Top Bottom