Baadhi ya Single mama acheni tabia mbaya ya kuwapa watoto ubini wa kwenu badala ya baba zao halisi

Huyo ana makosa,ongea naye tunza ushahidi kwa badae
 
Mambo ya Ngoswe, muachie Ngoswe mwenyewe.

Watanzania wengi ni mabingwa wa kutoa ushauri ambao hawajaombwa, kwa watu wasiowajua, kuhusu mambo wasiyoyaelewa.
 
Mambo ya Ngoswe, muachie Ngoswe mwenyewe.

Watanzania wengi ni mabingwa wa kutoa ushauri ambao hawajaombwa, kwa watu wasiowajua, kuhusu mambo wasiyoyaelewa.
Uko sahihi ndugu mpagani. Ninakuahidi kuipuuza hii comment yako.
 
Uko sahihi ndugu mpagani. Ninakuahidi kuipuuza hii comment yako.
You are a cyberbully. You are bullying me by calling me what I consider to be a pejorative term "mpagani".

Nishakuambia mara kadhaa mimi si mpagani na kuniita mpagani ni ujinga.

Mpagani ni mtu anayeamini Mungu au miungu tofauti na ya dominant cultures za wazungu. Mimi siamini Mungu kabisa hivyo siwezi kuwa mpagani.

Kuna tofauto kati ya atheist na mpagani.

And I am more than just an atheist.

Mimi nakuona wewe mjinga lakini sianzi kila post ninayokujibu kwa kuandika "Wewe mjinga".

Kwa sababu najua kuwa, ingawa wewe ni mjinga kwenye suala hili la mpagani ni nani, lakini pia ujinga huo hau ku define wewe kama mtu, wewe ni zaidi ya huo ujinga wako, ni mtu mwenye sifa nyingi nyingine.

Sasa kwa nini nianze kukuita "Wewe mjinga"?

Sikuiti hivyo.
 
Nashukuru kwa kunielewesha ndugu atheist.
 
Hutoi matunzo, huna mawasiliano na mama mtoto utafkr ataitwa nani sasa ?
 
Hiyo sheria haina
Una udhibitisho wa kutosha kuwa hiyo mimba ilikuwa ya kwako?
[/QUOTE]
Mkuu naamin 98% koz mim mwenyew tangu anaingia MP nikaanza kumwesabia siku kwa siri, lengo langu likiwa nipate mtoto wa kike.

nakwel kajifungua mtoto wa kike, wanavodai walio kalbu nae.

pili..
nilijua atajifungua mwez wa tatu, sema kajifungua mwez wa pili.

na kuna record ninazo pia akikili nimjazto akikataa nisihucke kwa lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…