RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,516
- 1,775
Daa mkuu weka mahaba pembeni points walizotoa EU mbona mnazikwepa, magufuli ameua umoja wa kitaifa, me sahv bora usaliti nchi yangu ili hawa wauaji watoke madarakanindo kilichokuwa kimempeleka membe ulaya,safari zake za nje kimya kimya hazikomi,kweli tamaa ya madaraka ni mbaya sana.
Wewe unaamini kuwa Marekani na EU wanafanya haya kwa faida ya sisi Watanzania masikini?Kwahiyo maazimio 15 wametusingizia mpuuzi wewe
Daa mkuu weka mahaba pembeni points walizotoa EU mbona mnazikwepa, magufuli ameua umoja wa kitaifa, me sahv bora usaliti nchi yangu ili hawa wauaji watoke madarakani
Haaa amekushika kendeMpumbavu ni wewe unae abudu ukoloni mambo leo!
Aisee wakuu hali ni mbaya,
Nimeona habari katika chanzo kimoja cha kimataifa, ni kuwa kuna hatari ya kuwekewa vikwazo vya kusafiri kwenda ulaya na marekani kwa viongozi fulani kutoka Tanzania.
Inasemekana vikwazo vinaweza kuwakumba, Paul Makonda, msajili wa vyama vya siasa, na baadhi ya viongozi wa juu wa serikali.
Aisee hali ni mbaya
Source. Fox news.
Na huu ukoloni wa mkoloni mweusi je? Nilikuwa SA wakati wa utawala wa De Clark, the shit watu wa opposition wanayopitia hako tofauti na yaliyokuwa kule.Ungekuwepo wakati wa ukoloni usingethubutu kuyasema haya. Ungekuwepo South Africa wakati wa ubaguzi ungeyasema haya
Haijalishi cha msingi Makaburu watoke, mi naona kama vikwazo havitoshi wangeomba kabisa nafasi Kenya ya kuweka manuari yao waje watupige tu.Wewe unaamini kuwa Marekani na EU wanafanya haya kwa faida ya sisi Watanzania masikini?
Weee unasema De Clark, wakati wa Voster na Botha ulikuwepo?Na huu ukoloni wa mkoloni mweusi je? Nilikuwa SA wakati wa utawala wa De Clark, the shit watu wa opposition wanayopitia hako tofauti na yaliyokuwa kule.
Maaskofu na ni wanaadamu unafki kama kawaDaaa nchi imegawanyika, watu chrismas wataenda mazabauni, uki kina Mbowe ambao hawan hatia wanasota Rumande
Bali nipo Tanzania nchi ambayo mbunge anapigwa risasi kwenye eneo la bunge huku camera za cctv zikiporwa na mbunge wa Chato bila hata kupepesa macho , nipo kwenye nchi ambayo viongozi wamegeuka kuwa miungu watu , niko kwenye nchi ambayo Msajili wa vyama anashirikiana na Lipumba kuiba hela ya cuf huku polisi wanaangalia tu .Ungekuwepo wakati wa ukoloni usingethubutu kuyasema haya. Ungekuwepo South Africa wakati wa ubaguzi ungeyasema haya
Upambavu ni wako na hao jamaa zako !Yaani mtu moja anaitia hasara nchini kwa upumbavu wake
Haijalishi cha msingi Makaburu watoke, mi naona kama vikwazo havitoshi wangeomba kabisa nafasi Kenya ya kuweka manuari yao waje watupige tu.Wewe unaamini kuwa Marekani na EU wanafanya haya kwa faida ya sisi Watanzania masikini?
Umasikini unakusumbua. Umekosa michongo ya hela unaona bora umwage ugali wote wakose ikiwemo vita.Haijalishi cha msingi Makaburu watoke, mi naona kama vikwazo havitoshi wangeomba kabisa nafasi Kenya ya kuweka manuari yao waje watupige tu.
Siwezi kuzungumzia ambao sikuwepo ndiyo maana back then in Cape Town during De Clark era na mzee baba wa Bongo leo hawana tofauti kwenye kubinya wanaowapinga kisiasa,kaburu(mbaguzi) ni kaburu tu regardless his/her colour.Weee unasema De Clark, wakati wa Voster na Botha ulikuwepo?
Panga boy!Haaa amekushika kende
huwa vinaanza taratibu mkishuoaza shingo vinawekwa vizito zaidi.Kuwawekea vikwazo sidhani kama ni suluhu maana mda mwingu wako humu. Nadhani kikwazo kingine zaidi