Ukweli gani.? Kuwa verified ndo inabadilisha nini kwenye maisha yangu.? Chadema ni wapumbavu kama wapumbavu wengine tuuUkishakuwa verified user unakuwa takataka maana huwezi kusema ukweli wako!
Idea nzima ya clawback clause ni kukuzuia au kukuchelewesha kuipata hiyo haki. Kama umeona madhara yake means inafanya kazi iliyokusudiwa.Hautakiwi kukataliwa kuandama bali unashauriwa uahirishe kwa sababu ambazo unaelezwa. Kwa bahati mbaya sasa imekuwa tamaduni ya kukatalia bila hata kutoa sababu za msingi.
Sidhani kama Katiba yetu inatupa haki ya kujiamulia lolote tutakalo juu ya miili yetu. Ndio maana yule binti Amber Lulu amefungwa kwa kufanya kitu kwa hiari yake. Aidha, hilo la kutoa mimba ni mfano mwingine.
Amandla....
Anaweza akafika ukingoni yeye akaiacha, make hadi Sasa sijaona kma kuna mbinu yyte ya vyama vya upinzani kuiondoa.Huu usemi wako toka 2015 mpaka leo
huwezi kufanya trials kwa miaka 10 wakati unaona watu wanapukutika. Huyu mma hajui maana ya pandemic. Hao waliomfundisha kuwa trials zichukue miaka 10 ndo hao hao wamatoa na kutumia chanjo kabla ya muda huo.Acha upotoshaji
Hii nchi haitatawalika
Shida iko hivi , anaweza kuchukuliwa na polisi lakini vituo vyote vya polisi usimkute , kumbe kachukuliwa na wasiojulikana na kupelekwa gizani kuchinjwaHabari uliyoileta imetawaliwa na neno "Anadaiwa" kuchukuliwa na Polisi.
Swali langu ambalo nataka unifahamishe ni kua huyu anayedai kua mtu huyo kuchukuliwa na polisi ni nani? Coz inaonekana huyo "anayedai" kutokea kwa tukio hilo ndiye source ya hii habari.,
Ifahamike kwamba nimeuliza ili kuelewa na sio kiushabiki wa kisiasa.
Kisheria ubalozini ni nchi nyingine bale ni marekani hawawezi kuwastaki kwa chochoteWalipewa kibali cha maandamano ? Makosa mengine ni ya kujitafutia
Tumerudi kulekule...square one kaka.Inasikitisha Sana!!
Mnafahamu ulinzi wa ubalozi wa Marekani?Kumbe wewe ni mjinga kabisa, unaulizwa kama walikuwa na kibali cha maandamano alafu wewe unajibu swala la kwenda ubalozini, kwamba walikuwa katika pitapita zao huko ubalozini au?
Hawa wana agenda ya kumhujumu Rais Samia kimtindo ila yaelekea Mama hajaustukia huu mchezo mchafu akiamini wanamsaidia kuinyamazisha ChademaHawa polisi sasa watamkamata kila mtu kama vichaa.
Wewe ni wakala wa Polisiccm?Ile kujigalagaza pale chini katuaibisha sana wanyakyusa.
Yale maandamano madogo ya Amani yana baraka za ubalozi wa marekani wenyewe kwa maana hiyo Polisiccm wakianza kuwakamata ndipo Serikali ya marekani itapata kisingizio cha kuminya misaada kwa Tanzania na kuishinikiza kufanya kazi kwa masilahi ya marekaniMnafahamu ulinzi wa ubalozi wa Marekani?
Kwa taarifa yenu wale waliofanya lile tukio pale system ya ubalozi inajua na iliwaambia wakae upande upi wa viwanja.Kundi kama lile bila taarifa hata getini wasingekanyaga.
Yeye ndiyo kaanza kubeep kwa kumbambikia kesi mbowe sasa kapigiwa apokee kupitia ubalozi wa marekaniUkienda kwa kuandamana utahitaji kibali, naona BAWACHA mnataka kumbipu Rais Samia, akiwapigia msimlaumu🤣
Kibali kimetokea CCM kwani kuwaonea kuwabambikia kesi wapinzani ndiyo kibali chenyewe hichoKwa nini uhitaji kibali?
Mbona hata uonevu mateso manyanyaso yalianza zamani lakini upinzani bado upo?Haya malalamiko yameanza 1995, 26 years now, ni kulalamika kila siku, nini kinafanyika zaidi ya malalamiko na kuswekwa rumande kwa miaka 26?
Haya mashetani yanapiga teke la mwisho na maimuna wao!Mwenyekiti wa Bawacha Temeke , Neema Mwakipesile anadaiwa kuchukuliwa na Polisi usiku wa manane, kwa kinachodaiwa tuhuma za kufika ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe akishirikiana na akina mama wengine wa CHADEMA.
Bado haijafahamika kama ataunganishwa kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe au la.
View attachment 1872428
Wewe mwenyewe ni mpumbavu mkubwa unawezaje kujua upumbavu? Maisha yako yanabadilika kwa kuwabambikia kesi wapinzani ndiyo maana unashabikia uonevu unyanyasaji wenu kwa wapinzaniUkweli gani.? Kuwa verified ndo inabadilisha nini kwenye maisha yangu.? Chadema ni wapumbavu kama wapumbavu wengine tuu