Baadhi ya Viongozi wa BAWACHA waliofika Ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe waanza kukamatwa

Baadhi ya Viongozi wa BAWACHA waliofika Ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe waanza kukamatwa

Bavicha wanashindwa na bawacha?

Wanaume gan hao,makamanda ingien barabaran token huko Twitter na Instagram,kuwen na ujasir kama bawacha
 
Hautakiwi kukataliwa kuandama bali unashauriwa uahirishe kwa sababu ambazo unaelezwa. Kwa bahati mbaya sasa imekuwa tamaduni ya kukatalia bila hata kutoa sababu za msingi.

Sidhani kama Katiba yetu inatupa haki ya kujiamulia lolote tutakalo juu ya miili yetu. Ndio maana yule binti Amber Lulu amefungwa kwa kufanya kitu kwa hiari yake. Aidha, hilo la kutoa mimba ni mfano mwingine.

Amandla....
Idea nzima ya clawback clause ni kukuzuia au kukuchelewesha kuipata hiyo haki. Kama umeona madhara yake means inafanya kazi iliyokusudiwa.

Nilichosema ni hichi:

Haki ya msingi inazuiwa na haki nyingine ya msingi au na sheria. Nikasema pia, mtu una haki ya kuamua utakalo juu ya mwili wako (sijasema katiba imetoa mamlaka haya, nimesema haki) lakini pamoja na hiyo haki sheria (katiba) inagomea wewe kuexercise hiyo haki fully.

Vyema umetoa mfano wa Amber Ruty. Alichofanya ni maamuzi yake na ni haki yake, ila sheria yetu inaweka ngono kinyume na maumbile ni kosa sawa na bestiality hivyo sheria inakuzuia kuexercise hiyo haki. Same goes with abortion.
 
Acha upotoshaji
huwezi kufanya trials kwa miaka 10 wakati unaona watu wanapukutika. Huyu mma hajui maana ya pandemic. Hao waliomfundisha kuwa trials zichukue miaka 10 ndo hao hao wamatoa na kutumia chanjo kabla ya muda huo.
Kwa technologia ilivyoadvance ni rahisi kujua madhara kwa haraka.
 
Habari uliyoileta imetawaliwa na neno "Anadaiwa" kuchukuliwa na Polisi.

Swali langu ambalo nataka unifahamishe ni kua huyu anayedai kua mtu huyo kuchukuliwa na polisi ni nani? Coz inaonekana huyo "anayedai" kutokea kwa tukio hilo ndiye source ya hii habari.,

Ifahamike kwamba nimeuliza ili kuelewa na sio kiushabiki wa kisiasa.
Shida iko hivi , anaweza kuchukuliwa na polisi lakini vituo vyote vya polisi usimkute , kumbe kachukuliwa na wasiojulikana na kupelekwa gizani kuchinjwa
 
Kumbe wewe ni mjinga kabisa, unaulizwa kama walikuwa na kibali cha maandamano alafu wewe unajibu swala la kwenda ubalozini, kwamba walikuwa katika pitapita zao huko ubalozini au?
Mnafahamu ulinzi wa ubalozi wa Marekani?
Kwa taarifa yenu wale waliofanya lile tukio pale system ya ubalozi inajua na iliwaambia wakae upande upi wa viwanja.Kundi kama lile bila taarifa hata getini wasingekanyaga.
 
Hawa polisi sasa watamkamata kila mtu kama vichaa.
Hawa wana agenda ya kumhujumu Rais Samia kimtindo ila yaelekea Mama hajaustukia huu mchezo mchafu akiamini wanamsaidia kuinyamazisha Chadema
 
Mnafahamu ulinzi wa ubalozi wa Marekani?
Kwa taarifa yenu wale waliofanya lile tukio pale system ya ubalozi inajua na iliwaambia wakae upande upi wa viwanja.Kundi kama lile bila taarifa hata getini wasingekanyaga.
Yale maandamano madogo ya Amani yana baraka za ubalozi wa marekani wenyewe kwa maana hiyo Polisiccm wakianza kuwakamata ndipo Serikali ya marekani itapata kisingizio cha kuminya misaada kwa Tanzania na kuishinikiza kufanya kazi kwa masilahi ya marekani
 
Ukienda kwa kuandamana utahitaji kibali, naona BAWACHA mnataka kumbipu Rais Samia, akiwapigia msimlaumu🤣
Yeye ndiyo kaanza kubeep kwa kumbambikia kesi mbowe sasa kapigiwa apokee kupitia ubalozi wa marekani
 
Haya malalamiko yameanza 1995, 26 years now, ni kulalamika kila siku, nini kinafanyika zaidi ya malalamiko na kuswekwa rumande kwa miaka 26?
Mbona hata uonevu mateso manyanyaso yalianza zamani lakini upinzani bado upo?
 
Mwenyekiti wa Bawacha Temeke , Neema Mwakipesile anadaiwa kuchukuliwa na Polisi usiku wa manane, kwa kinachodaiwa tuhuma za kufika ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe akishirikiana na akina mama wengine wa CHADEMA.

Bado haijafahamika kama ataunganishwa kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe au la.

View attachment 1872428
Haya mashetani yanapiga teke la mwisho na maimuna wao!
 
Ukweli gani.? Kuwa verified ndo inabadilisha nini kwenye maisha yangu.? Chadema ni wapumbavu kama wapumbavu wengine tuu
Wewe mwenyewe ni mpumbavu mkubwa unawezaje kujua upumbavu? Maisha yako yanabadilika kwa kuwabambikia kesi wapinzani ndiyo maana unashabikia uonevu unyanyasaji wenu kwa wapinzani
 
Ubalozini mwa USA yupo mtu mtz anayejua figisu za siasa za Tz na mabavu ya watawala na hapendezwi.Huwezi Kuingia pale bila appointment yao.
Wanajua kila siku wanawageni wangapi na SAA ngapi.

Walioenda wako upande wa gaidi.
USA hawangeweza kujenga urafiki na kundi hilo kuwakaribisha.
Mwisho wa hizi move sio sasa
 
Back
Top Bottom