TimeOut
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 3,894
- 8,454
[emoji108][emoji533][emoji97] [emoji2960][emoji2960][emoji2960]Namba moja nasikia aliji overdose viagra
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji108][emoji533][emoji97] [emoji2960][emoji2960][emoji2960]Namba moja nasikia aliji overdose viagra
Utata upi wakati aliuliwa kwa mapanga?Dr. Sengondo Mvungi....
PK ahusike, TiSs yako imelala?,military intelligence nayo imelala?Mchungaji Christopher Mtikila inasemekana PK anahusika.
Kwani PK alipojaza watu wake hadi tulipomsikia Mtikila akisema kuwa kuna mapandikizi ya kumwaga, hiyo intelligence ilikuwa wapi.PK ahusike, TiSs yako imelala?,military intelligence nayo imelala?
Hiki kitabu niliazimwagwa na jamaa yangu aliyekuwa anasoma BaED pale UDOM, dude lila kurasa sio chini ya 300. Inshortly kipo vizuri sana kile kitabu.Chachange Seth Chachange: Makuwadi wa soko huria
Haya tuambie ni akina nani walimpiga mapanga Dr. Sengondo? Kifo kuwa cha utata hata kama ameuliwa na mapanga au risasi kinatosha kuwa na utataUtata upi wakati aliuliwa kwa mapanga?
Utata ni Mtu anakufa wakati hakuwa mgonjwa,
Hajapata ajali, wala kupigwa risasi au mapanga
Vyombo hivi vipo kulinda royal families ONLYKwani PK alipojaza watu wake hadi tulipomsikia Mtikila akisema kuwa kuna mapandikizi ya kumwaga, hiyo intelligence ilikuwa wapi.
Kuja kushtuka ni kweli wameajiriwa hadi idara na wizara nyeti. Ukaanzishwa msako kuwakamata na wengine walifanikiwa kutoroka.
Hii nchi kama kweli tungekuwa na intelligence yenye nguvu tusingekuwa tunaibiwa kijinga hivi.
Kuna intelligence ya kulinda maslahi ya akina fulani tu.
Mfano mdogo, Wakenya huja mara kwa mara na kuanzisha vi saccos vya upigaji. Utasikia saccos fulani imewapiga wa Tz mamilioni ya pesa.
Kila mwaka mchezo ni huohuo. Hiyo intelligence huwa wapi?
PK= PALAMAGAMBA KABUDI??
Kuna mwamba kaandika huko Eti mchina Yan Buwen anahusika na ilo tukioUtata upi wakati aliuliwa kwa mapanga?
Utata ni Mtu anakufa wakati hakuwa mgonjwa,
Hajapata ajali, wala kupigwa risasi au mapanga
Escort1!!!?nini hiyo!!?Escort1
Kwanini kagame amuue raia asio wakeNi PAKA boss mfalme wa Rwanda
Babako na mamaNi sawa tu wote njia moja nakushangqa wewe unaona miujiza kufa kwa raisi alikufa raisi wa USA . itakuwa yule nyapara mchunga mifugo?
Mungu ndiyo aliyeumba na ndiye anaua kumlalamikia ni ujuha . Ulitaka afe nani sasa?
😂😂😘Mwaaaa!,..chezea LULU wewe.Kifo cha kanumba alipigwa busu na lulu mpk akaanguka kwenye tiles akafariki
View attachment 2679668
View attachment 2679669
Baada ya Tanzania kupata uongozi wa hovyo na mchafu, nimejikuta namkumbuka mwanangu Christopher Mtikila (RIP aka R.A). Ni mtoto pekee aliyekuwa akipiga kelele na kusikika tena kwa uchungu mkubwa. Japo namuona Boniface Mwabukusi akijaribu kuvaa viatu vyake, hana makeke kama ya mwanangu huyu. Je akina Mtikila wengine mnangoja nini kuamka na kuidai Tanganyika na mapema? Maana, huu ujingi na ukumbaff unaoendelea unahitaji watu walio tayari kujitoa mhanga kwa ajili ya watu wetu.