Baadhi ya Wanajeshi wa JWTZ wana tatizo la nidhamu?

Jeshi hufundisha na kusisitiza nidhamu ila wanajeshii wenyewe ndiyo shida wengine hujipulizia bangi matokeo yake ni hayo
Nahsisi watakuwa ni Askari tu Sio Maafisa wanaofNya hivyo
Shukran mkuu.

Wana viapo vya siri kuwa watiifu kwa chama tawala kilichopo
Mkuu ni Jukumu la kila mwanajeshi Kutumikia na Kusimamia kuitetea Serikali iliyopo madarakani na atakaye kaidi anapamban na Court marshall kwa kesi ya uhaini
 
mbona husemi kwa mujibu wa Katiba na sheria?

Sisi siyo wapumbavu kama mnavyojifariji
Mkuu Sheria za Kijeshi haziitaji katiba Hebu niambie umewahi kusikia Bungeni kuhusu Sheria za manunuzi ya kijeshi ikipigiwa kura..
Kwamba wananunua Vifaru vingapi na ndge ngapi za kivita...

Sheria Zingine ni confidential ukitka kuzijua Kula doso ingia madesa zama Kj operation yyte utaona..
Wenzako waliwahi kuhoji hivyo akina zito kuhusu bajeti ya jeshi wakapelekwa JKT tu, Walirudi wakaunga hoja mkono...
Kuna wakati tuache siri ziwe siri tusilazimishe siri ziwe wazi
 
Ila waelewe raia ni wengi kuliko wao, raia wakiamua watatamani ardhi ipasuke ili waingie huko.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Sasa Raia nyie mna Silaha yoyote hebu Achani kunichekesha 🤣🤣
Mnataka kurudi enzi Za maji mJi au hahahah
Hebu Jichanganyeni sasa..
Unakumbuka mwaka 1962 ,1963 na 1964 hivi Nyerere alitaka kupinduliwa na Tanganyika African Rifle akakimbia nchi...
Si angeagiza Raia wapambane 🤣🤣
 
Upo sahii mkuu
 
Binafsi tangu niliposikia ile Kauli ya Jeshi kutaka kuingia Mitaani kusaka 'Sare zao' kwa Raia nilipoteza Matumaini sana.

Mkuu mpya wa Jeshi ajifunze kwa waliomtangulia kuona waliweza vipi kuboresha mahusiano mazuri baina ya Jeshi na Raia..
 
Binafsi tangu niliposikia ile Kauli ya Jeshi kutaka kuingia Mitaani kusaka 'Sare zao' kwa Raia nilipoteza Matumaini sana.

Mkuu mpya wa Jeshi ajifunze kwa waliomtangulia kuona waliweza vipi kuboresha mahusiano mazuri baina ya Jeshi na Raia..
Hii umeongea point
 
Mkuu umeenda mbali sana ila umeongea point
 
elimu, elimu, elimu,elimu,elimu........ wengi wa wale watu wanaajiriwa kwa kushindana mbio na siyo akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…