Baadhi ya Wanajeshi wa JWTZ wana tatizo la nidhamu?

hakuna kitu hapo
Hujaamueleewa
Nashangaa kwanini wengine wanakosa nidhamu maana kumkuta Afisa mzima akiwa haa nidham huwa linanifikirisha sana Bora hawa Ma askari wa jeshi sawa..

Ila maafisa ambao huenda Mwaka mmoja au wiki 52 huko Monduli kula Masomo ya nidhamu,Utumishi maadili na utawala...
Kuna tatizo katika utawala mkuu
 
Mkuu ebu fafanua kiundani ,,masna umeongea pointi sana
My point
Angalia namna wanajeshi wanavyojazwa kwenye siasa during na baada ya kustaafu kwao. Unakuta mjeshi mkuu wa wilaya au mkoa. Ikumbukwe kwamba RC na DC wanatambulika kama wajumbe wa kamati ya siasa ya Wikaya au mkoa waliokuwepo. Na vyeo hivyo ni political appointment na siyo uograding levels za utumishi.

Wakistaafu wanaingia kwenye nafasi za kisiasa as if ni makada wazoefu wa chama tawala. Kimsingi Mwanasjeshi na askari hawapaswi kuwa wanachama wa chama chochote cha siasa.

Wamekuwa wakitoa ulinzi na sapoti kubwa kwa wagombea wa CCM during chaguzi kinyume na utaratibu. Anakuja mgombea wa CCM kituoni anaruhushiwa kuingia na kuongea hata na wasimamizi. Lakini akija chama mbadala haruhhsiwi labda kwa lengo la kupiga kura pekee.

Tunahitaji kuheshimu Katiba na sheria za nchi lakini wenzetu ndo wamejigeuza sheria na wanataka kuheshimiwa
 
Umeeleweka mkuu
 
Au elimu inayotolewa jeshini inahusu tu nidhamu ua uwanja wa vita na sio nidhamu ya kuishi na raia au watu inaowalinda? Bahati mbaya uongozi wa jeshi unaongozwa na kanuni,sasa wale watu waliopewa dhama ya kusimamia hizo kanuni wakizivunja ni nani atawakemea?
Jeshi hufundisha na kusisitiza nidhamu ila wanajeshii wenyewe ndiyo shida wengine hujipulizia bangi matokeo yake ni hayo
 
Back
Top Bottom