jokotinda_Jr
JF-Expert Member
- Apr 9, 2022
- 882
- 1,536
- Thread starter
-
- #221
Ofcoz kama jambo halijakupata cyo rahisi kuamini ... OK huniamni mmi je? Hata cement za wadau huziamini pia au sisi wote letu ni moja kasoro wew ..... amka usingizini mzee .... pia kama jambo hulijui ukikaa kimya na kutaka kujifunza itakusaidia itakuongezea busara kuliko iviiiNina miaka mingi sana hapa na halijawahi nitokea, itakuwa unawatafuta mwenyewe! Unless unawataja, unakuwa mmoja wao.
Weee shindwaaa๐๐Umeongea kwa uzoefu mkubwa mmh๐
huu ujasiri wako ni kama kukumbatia bomu kwa mikono ndugu yangu.. ๐Tutokomaje maisha ni risk kila mahali.
Mtaani unakutana na pisi kali lkn usiku anajiuza.
Kazini unakutana na mrembo unampenda anakupenda kumbe mke wa tu.
Hakuna nafuu popote mrembo...wewe nisogezee zigo langu๐
Ofcoz kama jambo halijakupata cyo rahisi kuamini ... OK huniamni mmi je? Hata cement za wadau huziamini pia au sisi wote letu ni moja kasoro wew ..... amka usingizini mzee .... pia kama jambo hulijui ukikaa kimya na kutaka kujifunza itakusaidia itakuongezea busara kuliko iviii
Kwa kifupi nduguzetu upande wa baba wamerest in peace jina la bwana lihimidiweUzi umenougaaaa baraaaaaa!!!
Natamani ningekua najua kuongeaaa na kubishana
mimii walaiiiii jf chaka kubwaaaa
Jf idumuuu๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ
Me nlidhani unachawia tu Yanga kumbe hadi kwenye umbeya upo kakaHajawahi. Mimi nilipata Ubuyu tu mdogo wangu
Halafu sipendi kudanganywa wala kucheleweshewa sio?๐๐๐Sema mie nishtuka nikawa naombwaa, nataka nikasafishe kucha, mala nataka chips kuku , mala nataka KFC ... ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
๐๐๐๐ ni shwaaaaaaahuu ujasiri wako ni kama kukumbatia bomu kwa mikono ndugu yangu.. ๐
Kwamba id zimekua expensive hivyo hadi washee id moja na kaka yake ๐huu ndio mwanzo wa mtu kuvuliwa ubingwa, tusisingizie maisha magumu kuna umbwa moja nilikuwa nachat nayo pm najua ni bint mrembo. Nashtuka baada ya kupitia post zake kwenye nyuzi za mpira nikagundua kuna kitu hakiko sawa kwenye mwandiko wake.
Fakini blal ful yule nikamchana pale pale akajitetea kuwa anashea id na kaka yake. Tangu siku ile sijamuona tena online nahis kabadil id.
Naamini hutaniangushahuu ujasiri wako ni kama kukumbatia bomu kwa mikono ndugu yangu.. ๐
๐ซฃ๐ซฃ๐ซฃ sema ka elfu mbili , mishale mingine ambayo ilikuwa nilikwepa jamani.. ila hapa kweli nilipigwa ... sijui ilikuaje dah.. nilijaa faster kinoma, alikuja na picha picha bomba hatari... huwa natabia ya kuangalia source ya picha ila hapo nilipitiwa dah..๐๐๐
Ningeamini watu wengine wamepigwa ila siyo wewe National, na ujanja wote huo ndugu yangu..??
Mpaka mshamba_hachekwi kakushinda..!!
Hahahaahahaaa!! !!Kwa kifupi nduguzetu upande wa baba wamerest in peace jina la bwana lihimidiwe
Wanaume hamna ndo maana wanachamba had unashangaa huyu mwanaume kweli ๐ ๐
banaaa weeee ๐ ๐ ๐ ๐ acha tuHalafu sipendi kudanganywa wala kucheleweshewa sio?๐๐๐
Aah hiyo ni kiuzoefu zaidi๐Weee shindwaaa๐๐
Kwani kuongea lazima Yakukute ukisikia tu hata Kwa jirani inabid ujifunze ukae Kwa password๐ ๐
mwalimu wangu aliwahi niambia, 'there is no free lunch'..Kweli dada Yani Hadi ukienda kuichungulia haitazamiki yaani sikuhiz bora ulale njaa kuliko kula Hela ya kijana wa watu Bure Wana hasira ๐ ๐
Hahaha!. Usinihusishe na mambo ya Yanga tafadhali.Me nlidhani unachawia tu Yanga kumbe hadi kwenye umbeya upo kaka
Hii mbusi jinga sana.banaaa weeee ๐ ๐ ๐ ๐ acha tu
Weee mjomba kumbe ni mjanja hivoo ulikwama wapi mjomba wangu lol!!!๐๐๐๐ซฃ๐ซฃ๐ซฃ sema ka elfu mbili , mishale mingine ambayo ilikuwa nilikwepa jamani.. ila hapa kweli nilipigwa ... sijui ilikuaje dah.. nilijaa faster kinoma, alikuja na picha picha bomba hatari... huwa natabia ya kuangalia source ya picha ila hapo nilipitiwa dah..
๐ ๐ ๐ ๐ sena inauma maana siku hiyo niliamshwa kununua vocha ya huku mbili alafu maduka yalikuwa mbali kinomaaa ila nikaenda๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃMbavoooo zangooooo mjomba pullliiizzzzzzzzzzzzzzz ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ !! Nacheka hadi nataka kujikojolea hukuuuuuu๐คฃ!!
Sema asavali Hio sio kobwaaa