Baadhi ya wanaume humu JF tubadilike tunashusha utu wetu na thamani yetu

Status
Not open for further replies.
Sema mtoto ana maneno aiseee
Kuna mtongozo wake mmoja niliuona, alooo mtt alijipanga [emoji1787][emoji2960]

Hiyo inatokea PP 🫣
Unajikuta unafall kwa mwandiko tu.
Kuna raia mbili humu fundi haswa, ukiwa mroho wa P kisha ukawa na ubongo mzito unajaa... ila sikujua kama kuna watu wengi hivyo alifanikiwa kuwachomoa[emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe yeye anajileta kwenu? Mie nikajua nyie mna mfata kupitia nyuzi zake za kujisifiaaa woiiiiiiiii.

Hapo ndo anakwamaa sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata uwe na ubongo mdogo lazima ushtuke tu, ndo nashangaa hapa raia walipigwaje vile?
 
Kwakwer tunapoelekea Mungu simamisha Dunia mimi nishuke tu😎
 
Hiyo mbaya sana.
Mwenyezi Mungu atuepushe na majanga haya.
Amiin
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…