Baadhi ya wanaume humu JF tubadilike tunashusha utu wetu na thamani yetu

Baadhi ya wanaume humu JF tubadilike tunashusha utu wetu na thamani yetu

Status
Not open for further replies.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ulimpigia na kuona sura mkuuu,una uhakika na unalolisema?

Jamaa anujua saikolojia kinoma,utaskia "kama huniamini tuvideocall" ukisema "powa" utaskia "sasa me bando sina basi nitumie bando" sasa na wewe na zile papala zakutaka kuona toto huyo mbio mbio unatuma hela[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu basi...Comments zako hapa nacheka mno...
 
Siku ya kwanza nlimtumia vocha ...... sikunyingine tena akataka nimtumie 50k nikampa sharti la kumpigia video call kwanza ....akachomoa nika vunga .... jana akaniomba tena 150k ..... ndo nka mchana nka mwambia video call hutaki na pesa sikutumii akaona nimemshtukizia ....nikimpigia simu hapokei
Hadi mmefikia hapa umenishwa sana mkuu, sio?😂
 
Habarini za asubuhi wapendwa natumai mpo poa.

Leo naomba niseme hivi kuna baadhi ya sisi wanaume tumekuwa na tabia ya kujifanya mwanamke yaani ni mshikaji kabisa anakuja PM anajifanya mwanamke ananza kukuomba pesa na virungu vya hapa na pale. Thamani yetu wanaume ni kubwa sana tubadilike. Kwanza unanzaje kama shida ni pesa si uombe members tutakupiga tafu kuliko hiviii🤔🤔

Nina miaka mingi sana hapa na halijawahi nitokea, itakuwa unawatafuta mwenyewe! Unless unawataja, unakuwa mmoja wao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom