Baadhi ya Wanaume wa miaka hii wamekuwa walaini sana sijui huko mbeleni tutakuwa na kizazi cha aina gani

U
Ina maana ushoga unatokana na uliyoyaandika ? Ila kwa tafiti zangu hundred percent

Hapo ni malezi yakikosekana

Na kupata hisia za ushoga

Ndo vyanzo vikuu vya ushoga....
 
Mbona Tik
Hakuna battle nimewahi kuifurahia kama hii, Anko T kiboko bwana!
Ananifurahishaaaaa πŸ˜…πŸ˜…πŸ™ŒπŸΎ
TikTok kwa moto sana......

Insta sipo account ilihakiwa toka 2022 nkaachana nayo...

Ila naona vita vyao......

Huyu dogo anajitoa akili πŸ˜‚
 
Mbona Tik

TikTok kwa moto sana......

Insta sipo account ilihakiwa toka 2022 nkaachana nayo...

Ila naona vita vyao......

Huyu dogo anajitoa akili πŸ˜‚
Mie pia sipo TikTok, naona tu clip instagram.

Huyo ndio kiboko ya Gigy sasa, kasuuzwa akasuuzika. Anko T anachamba kwa classy na facts.
 
Kizazi cha ovyo...ndomana vitoto sahv vinafiln mwanzo mwisho si wakike si wakiume
Mpk kufika 2030 nchi itajaaa mapunga na wasagaji
Naona walichofanya wanafunz wa baobab mmekiona na usemi wangu unatimia
Vitoto vinaflnnn mwanzo mwishoo

Ova
 
Kwan kufrn kumeanza Leo ?
 
πŸ’―
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…