Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana ushoga unatokana na uliyoyaandika ? Ila kwa tafiti zangu hundred percent1: watoto wanalelewa na either single parent na hasa mama peke yao or yaya hapa hakuna malezi bali kuangalia asiharibu or kutoroka home but kitabia hakuna kitu.
2: Vyakula vya haraka haraka aka chips and irojo hapa ndio kuna janga kubwa sana huwezi kua na nguvu Kwa kula wanga na mafuta peke yake tena vyakukaanga yaani hawezi kua mkakamavu kamwe.
3: Ushoga ni janga lingine kwani wakiume wamegeuka wakike ndio maana dada/wamama wengi wapo single and hawafikishwi kabisa
4: hawataki kufanya kazi ngumu or hata mazoezi tu ya kutembea yaani boda/bajaji/ vijana hawataki shida unaina hata wasanii wakienda kwenye show hawawezi imba live kwakua hawana mazoezi ya pumzi ya kutosha
Sawa bossU
Ina maana ushoga unatokana na uliyoyaandika ? Ila kwa tafiti zangu hundred percent
Hapo ni malezi yakikosekana
Na kupata hisia za ushoga
Ndo vyanzo vikuu vya ushoga....
Karibu tujifunze kwa pamojaSawa boss
Hakuna battle nimewahi kuifurahia kama hii, Anko T kiboko bwana!
TikTok kwa moto sana......Hakuna battle nimewahi kuifurahia kama hii, Anko T kiboko bwana!
Ananifurahishaaaaa 😅😅🙌🏾
Mie pia sipo TikTok, naona tu clip instagram.Mbona Tik
TikTok kwa moto sana......
Insta sipo account ilihakiwa toka 2022 nkaachana nayo...
Ila naona vita vyao......
Huyu dogo anajitoa akili 😂
Aseeh wanawake mnamkubali hasaMie pia sipo TikTok, naona tu clip instagram.
Huyo ndio kiboko ya Gigy sasa, kasuuzwa akasuuzika. Anko T anachamba kwa classy na facts.
Kwan kufrn kumeanza Leo ?Kizazi cha ovyo...ndomana vitoto sahv vinafiln mwanzo mwisho si wakike si wakiume
Mpk kufika 2030 nchi itajaaa mapunga na wasagaji
Naona walichofanya wanafunz wa baobab mmekiona na usemi wangu unatimia
Vitoto vinaflnnn mwanzo mwishoo
Ova
Hahhaaha karibu kwangu mySisi zetu Pumbhu,
Tutawapiga nazo mpaka waokoke.
Unakigawa mno kubbke 😂😂Hahhaaha karibu kwangu my
💯1: watoto wanalelewa na either single parent na hasa mama peke yao or yaya hapa hakuna malezi bali kuangalia asiharibu or kutoroka home but kitabia hakuna kitu.