Baadhi ya wanawake ni wakatili kuliko wanaume toka enzi na enzi

Baadhi ya wanawake ni wakatili kuliko wanaume toka enzi na enzi

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Huo ndio ukweli, msiwe mnatishwa na machozi ya wanawake hata siku moja.

Mwanamke ni mtu katili sana ambae anaweza kukushangaza matendo yake hadi ukaduwaa!

Fikiria mtu anabeba mimba bila kulazimishwa halafu baadae anaitoa hiyo mimba, au anazaa kabisa baadae kwa mikono yake anayonga na kuua mtoto!

Kiasili mwanaume ameumbwa na huruma sana, mwanaume anaweza kuhudumia mke na watoto miaka kibao hadi anakufa na hautosikia kelele, ukiyumba kidogo kiuchumi upewe sapoti kidogo na mwanamke taarifa zitafika hadi kwa mjumbe wa mtaa, hadi uliosoma nao chekechea watajulishwa haraka sana!

Vitabu vyenu vimeandika tuishi nao Kwa akili kubwa sana.
 
20240909_043657.jpg
 
Rais Samia kaonyesha ukatili sana jana kwa ile pole ya kinafki
Historia na hata vitabu vitakatifu vina mifano mingi ya wanawake makatili waambao hata waliweza kuwashawishi wafalme wawaue watu wao. Lakini pia wanawake wakiamua kuwa malaghai huwa wanafanya kwa ufanisi mkubwa. Angalia huyu wa kwetu alivyowalaghai watu kuwa eti ameomba ufanyike uchunguzi na taarifa apelekewe, wakati kile kikosi ya watekaji na wauaji, wanachokiita Task Force, kipo chini yake, kinapokea maelekezo toka ikulu, kinawajibika kwake, na kinatoa taarifa kwake kila siku.

Japo wanawake wa hekima na huruma, hao tunawapongeza, LAKINI kwa bahati mbaya huyu wa kwetu, siyo miongoni mwao. Huyu yumo kwenye kundi lile la wanawake katili. Watu eanauawa, yeye anasema ni drama, yaani ni kitu tu cha kumfurahisha, kisichoushtua moyo wake.
 
Historia haiongopi, dhambi na matatizo makubwa duniani chanzo ni ninyi wanawake
Si ndio maana mkapewa angalizo muishi na sisi kwa akili.

Cha ajabu mnakua wakaidi mnatuona hatuna akili, utaambiwaje uishi kwa akili na kiumbe kisicho na akili.

Yani mbele yako kuna nyoka halafu kuna kobe inawezekanaje uambiwe chukua tahadhari huko kuna kobe.

Anyway bado hamjasema 😹
 
Yaani iko hivi ninyi akili hamna na kama zipo hazieleweki kwahiyo tahadhari tulipewa sisi wenye akili tuzitumie maana ninyi hamueleweki dakika mbili mbele Kwa mbele
 
Yaani iko hivi ninyi akili hamna na kama zipo hazieleweki kwahiyo tahadhari tulipewa sisi wenye akili tuzitumie maana ninyi hamueleweki dakika mbili mbele Kwa mbele
Mwanamke ni kiumbe chenye uwezo na akili sana, tena akili sharp, basi tu nakwambia akili zetu wengi tunazitumia kwenye mambo ya ovyo ovyo......

Ila ukikuta mwanamke aliewekeza akili, mwanaume aende chekechea
 
Back
Top Bottom