Baadhi ya wanawake ni wakatili kuliko wanaume toka enzi na enzi

Baadhi ya wanawake ni wakatili kuliko wanaume toka enzi na enzi

b007ce1ae0f24bd2a4365a610c26029e~2.jpg
 
Hapo kwenye mwanamke kushindwa kuhudumia familia kama mwanaume wala msiwalaumu ila ni mgawanyo wa majukumu tu ambao upo toka enzi na enzi, mwanamke ana majukumu yake ya nyumbani ambayo anaweza kuyafanya kila siku hadi anazeeka bila kuchoka je naye akipata changamoto ambayo itamfanya ashindwe kutimiza hayo majukumu vipi utaweza kumsaidia hadi atakapoweza tena kuyafanya, kila jinsia ina ukatili wake ila ukatili wa wanawake kwa asilimia kubwa unasababishwa na wanaume ila wanaume ukatili wenu upo toka enzi na enzi wanawake walipokuwa hawana sauti wala uhuru wa kufanya uovu
 
Well said
 
Uliyosema hapo ni pure nonsense, kwann?
Unaposema kusaidia majukumu ya nyumbani, wanaume tunasaidia sana majukumu ya nyumbani sio tuu kukulisha wewe na watoto.
Talaka 80% are initiated by women kwa sababu zisingo za msingi, na sababu kubwa utakuta mwanaume kukwama kiuchumi na utakuta mwanamke hapo amejitapa anaingiza hela viela zaidi ya mumewe bac anamuona mumewe fala haiendani nae tena.

Haya tukija kweny ulemavu uliopatikana ndani ya ndoa, wanawake ndo wanaongoza kuachana na wanaume ambao wamepatwa na majanga/ajali na kuwa walemavu, hii inamaanisha nn kama sio kwamba tangia ulimwengu uumbwe mnajijali nyinyi tuu, a woman only cares about her own welfare, mbona kiwango kikubwa cha wanaume tunabaki kusaidiana majukumu na wake zetu wasiojiweza?

Tukizungmzia ukatili, upo both ways, system za maisha (ambazo kaweka mwanaume huyohuyo) zimemfanya mwanamke kuwa mtu ambaye yupo salama most of the time.

Mwanamke akitaka kutoa mimba kwasababu fulani mnasema "her body her choice" ila mwanaume akimwambia atoe mimba kwasababu hana child support mnaona mnanyanyaswa.

Wanaume wengi wametoa child support kwa watoto ambao sio wao, ikija kuwa proven kwamba hao watoto sio wao, kuna hatua yeyote inachukuliwa kwa huyo mwanamke, je refund ya child support kwa mtoto ambae sio wangu??

Wanaume wengi wapo jela kwa kusingiziwa ubakaji na wamepoteza miaka mingi ya maisha yao, ila wakitoka hao wanawake hawachukuliwi hatua yeyote.

We unadhani the judicial system iko sawa kwa both me and women??

Hakuna wanawake wanapiga wanaume zao?? Wewe ukienda mahakamani kwa kupigwa na mwanaume na mimi mwanamme nikienda mahakamani kwa kupigwa na mke wangu, we unadhani nani atasikilizwa mapema?? We unadhani nani atapewa adhabu kali??

Public Perception ni kitu kibaya sana.
Public Perception imemfanya mwanaume kuonekana kuwa kama mnyama mwenye roho mbaya anayemwonea mwanamke, wakati sio kweli, ukivamiwa na majambazi usiku nani hutoka na kutoa maisha yake kukulinda wewe na watoto?
Utakapo gombana na watu mtaani nani wa kwanza kuja kukusaidia??
Utakapo zimia/ishiwa nguvu ukiwa sehemu yeyote nani wa kwanza kuja kukuinua kukukimbiza hospitali?

Quite the contrary, wanawake hawajaanza kuwa walaghai leo au jana, tokea zamani hayo ni mambo yenu.
Mwanamke hana nguvu, kwaio njia pekee ya kupambana na mwanaume is through innuendo, gossip na reputation destruction, na huwaga hamchukuliwi hatua zozote za kisheria, mkianza kulialia mnasamehewa.

Ngoja niishie hapo kwa leo.
 
Hakuna kingine zaidi ya kutumia akili kuishi nao,kinyume cha hapo lazima utajeruhiwa,feminism imeleta mambo ya hovyo sana kwenye hii dunia,na mbaya zaidi ni sisi wenyewe tuli isupport na mwishowe ni sisi wenyewe ndio tunalialia...
 
Hii ni Vita rasmi ya Jinsia mbili tofauti yaani ni kutandikana tu.
 
Huo ndio ukweli, msiwe mnatishwa na machozi ya wanawake hata siku moja.

Mwanamke ni mtu katili sana ambae anaweza kukushangaza matendo yake hadi ukaduwaa!

Fikiria mtu anabeba mimba bila kulazimishwa halafu baadae anaitoa hiyo mimba, au anazaa kabisa baadae kwa mikono yake anayonga na kuua mtoto!

Kiasili mwanaume ameumbwa na huruma sana, mwanaume anaweza kuhudumia mke na watoto miaka kibao hadi anakufa na hautosikia kelele, ukiyumba kidogo kiuchumi upewe sapoti kidogo na mwanamke taarifa zitafika hadi kwa mjumbe wa mtaa, hadi uliosoma nao chekechea watajulishwa haraka sana!

Vitabu vyenu vimeandika tuishi nao Kwa akili kubwa sana.
Tutakoma 😅😅
 
Kama mwanaume na mwanamke kila mtu ameshika kisu anataka kuuwa, kisu cha mwanamke kitashuka fasta ila mwanaume anasita kwa kujiuliza maswali. Hata swala la uchawi mwanamke ni mbaya kuliko mwanaume.
 
Unaijua kichaa cha mimba?
Na ngoja nikuelemishe kidogo, hakuna kitu kama kichaa cha mimba, hiko kitu mmetunga ili kujitetea, ni kwamba mwili kipindi cha mimba una produce hormones nyingi, hormones zina-affect mood and emotions, ndo maana mkiwa na mimba mnajikuta mpo moody sana, ila hio haimaanishi una kichaa au kicha cha mimba sijui, acha uongo.
 
Back
Top Bottom