Aiseee kweli nimeamini wanaume ni either huwa mnajiona innocent au maovu yenu huwa mnayaona madogo, kila siku kuna cases za watu kukabwa na majambazi, kupigwa mapanga hadi kufa, wanawake kubakwa na kuuawa, watoto kulawitiwa hadi kufa, mauaji ya halaiki yanayosababishwa na vita za kiimani au kisiasa nk lakini hayo yote mnayaona madogo ila wanawake kutoa mimba mnaona ndio ishu kubwa ya kushangaza, seriously yani unaacha matukio yote hayo ya kusimamisha dunia unakuja kuongelea habari za machame sijui mbeya what kind of cockamamie argument is this