Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Umewahi shika mimba?Na ngoja nikuelemishe kidogo, hakuna kitu kama kichaa cha mimba, hiko kitu mmetunga ili kujitetea, ni kwamba mwili kipindi cha mimba una produce hormones nyingi, hormones zina-affect mood and emotions, ndo maana mkiwa na mimba mnajikuta mpo moody sana, ila hio haimaanishi una kichaa au kicha cha mimba sijui, acha uongo.