Hapo kwenye mwanamke kushindwa kuhudumia familia kama mwanaume wala msiwalaumu ila ni mgawanyo wa majukumu tu ambao upo toka enzi na enzi, mwanamke ana majukumu yake ya nyumbani ambayo anaweza kuyafanya kila siku hadi anazeeka bila kuchoka je naye akipata changamoto ambayo itamfanya ashindwe kutimiza hayo majukumu vipi utaweza kumsaidia hadi atakapoweza tena kuyafanya, kila jinsia ina ukatili wake ila ukatili wa wanawake kwa asilimia kubwa unasababishwa na wanaume ila wanaume ukatili wenu upo toka enzi na enzi wanawake walipokuwa hawana sauti wala uhuru wa kufanya uovu
Uliyosema hapo ni pure nonsense, kwann?
Unaposema kusaidia majukumu ya nyumbani, wanaume tunasaidia sana majukumu ya nyumbani sio tuu kukulisha wewe na watoto.
Talaka 80% are initiated by women kwa sababu zisingo za msingi, na sababu kubwa utakuta mwanaume kukwama kiuchumi na utakuta mwanamke hapo amejitapa anaingiza hela viela zaidi ya mumewe bac anamuona mumewe fala haiendani nae tena.
Haya tukija kweny ulemavu uliopatikana ndani ya ndoa, wanawake ndo wanaongoza kuachana na wanaume ambao wamepatwa na majanga/ajali na kuwa walemavu, hii inamaanisha nn kama sio kwamba tangia ulimwengu uumbwe mnajijali nyinyi tuu, a woman only cares about her own welfare, mbona kiwango kikubwa cha wanaume tunabaki kusaidiana majukumu na wake zetu wasiojiweza?
Tukizungmzia ukatili, upo both ways, system za maisha (ambazo kaweka mwanaume huyohuyo) zimemfanya mwanamke kuwa mtu ambaye yupo salama most of the time.
Mwanamke akitaka kutoa mimba kwasababu fulani mnasema "her body her choice" ila mwanaume akimwambia atoe mimba kwasababu hana child support mnaona mnanyanyaswa.
Wanaume wengi wametoa child support kwa watoto ambao sio wao, ikija kuwa proven kwamba hao watoto sio wao, kuna hatua yeyote inachukuliwa kwa huyo mwanamke, je refund ya child support kwa mtoto ambae sio wangu??
Wanaume wengi wapo jela kwa kusingiziwa ubakaji na wamepoteza miaka mingi ya maisha yao, ila wakitoka hao wanawake hawachukuliwi hatua yeyote.
We unadhani the judicial system iko sawa kwa both me and women??
Hakuna wanawake wanapiga wanaume zao?? Wewe ukienda mahakamani kwa kupigwa na mwanaume na mimi mwanamme nikienda mahakamani kwa kupigwa na mke wangu, we unadhani nani atasikilizwa mapema?? We unadhani nani atapewa adhabu kali??
Public Perception ni kitu kibaya sana.
Public Perception imemfanya mwanaume kuonekana kuwa kama mnyama mwenye roho mbaya anayemwonea mwanamke, wakati sio kweli, ukivamiwa na majambazi usiku nani hutoka na kutoa maisha yake kukulinda wewe na watoto?
Utakapo gombana na watu mtaani nani wa kwanza kuja kukusaidia??
Utakapo zimia/ishiwa nguvu ukiwa sehemu yeyote nani wa kwanza kuja kukuinua kukukimbiza hospitali?
Quite the contrary, wanawake hawajaanza kuwa walaghai leo au jana, tokea zamani hayo ni mambo yenu.
Mwanamke hana nguvu, kwaio njia pekee ya kupambana na mwanaume is through innuendo, gossip na reputation destruction, na huwaga hamchukuliwi hatua zozote za kisheria, mkianza kulialia mnasamehewa.
Ngoja niishie hapo kwa leo.