Baadhi ya wanawake ni wakatili kuliko wanaume toka enzi na enzi

Umewahi shika mimba?
 
Ni ukweli mtupu, Mwanamke sio wa kumhurumia
 
Hizo apologetic excuses nazifahamu


Nyie hamfanyi hayo yote??
Si bora mwanaume, we unakaa na mtoto miezi tisa tumboni mwako alaf unamuua?? Una mwagia maji ya moto?? Unamtupia huko kwa bibi ake??
Kuua ni kuua tu hakuna ubora.
 
Kajielimishe zaidi ukiwa hujajifungia ndani ya sanduku.
That's funny, hujaongea chochote wala kutoa majibu ya kueleweka alaf unaniambia mm nikajielemishe, seriously?

I read books everyday.

Sijajua ww unajielemishaje?
 
Kiumbe hatari na kinachoongoza kwa kuua duniani siyo Simba, chui Wala mbu bali ni Mwanamke.

Asilimia 90% ya wanawake , Kila mmoja ana historia ya kuua mtu. Mnaua mimba, watoto Hadi Waume zenu kimya kimya.

Ukienda Machame, Musoma, Mbeya wamiliki wa nyumba ni wanawake maana washawatanguliza Waume zao mbele ya haki.

Na mlivyo smart kwenye mauaji, mara zote mnaonekana hamna hatia.
 
Shetani ni mwanaume.

Matukio ya ajabu na ya kikatili hapa duniani yameongozwa na wanaume.
Matukio ya mwanamke hayasikiki na jamii inayafumbia macho. Unadhani kuua mimba ni jambo zuri? Kuua Waume zenu kimya kimya ni jambo zuri?

Mwanamke ndiye kiumbe hatari kwa mauaji hapa duniani.
 
Matukio ya mwanamke hayasikiki na jamii inayafumbia macho. Unadhani kuua mimba ni jambo zuri? Kuua Waume zenu kimya kimya ni jambo zuri?

Mwanamke ndiye kiumbe hatari kwa mauaji hapa duniani.
Sasa kama hayasikiki wewe hizo 90% ulizitoa wapi?

Ukatili wa mwanamke husababishwa na mwanaume, wakati hizo mimba zinatolewa nyie watia mimba mnakuwa wapi?
 
That's funny, hujaongea chochote wala kutoa majibu ya kueleweka alaf unaniambia mm nikajielemishe, seriously?

I read books everyday.

Sijajua ww unajielemishaje?
Soma vitabu vya kukuelimisha, na uvisome ukiwa na utimamu.
 
Pia nature ni katili kwa mwanamke, hivyo wanawake wengi ni helplessness, hii ni sababu kwanini wanawake wengi wana Ego kuliko wanaume, Ego inazalisha ukatili wa mwanamke. Mfano; Mwanamke atakuroga sababu tu hawezu kujisaidia zaidi ya hilo au Mwanamke atakuchukia sababu hawezi kujisaidia na wewe umeshindwa kumsaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…