Baadhi ya wanawake ni wakatili kuliko wanaume toka enzi na enzi

Huyo alisema ana body kali hadi wanaume wenzie wanamtolea udenda,,
Heeeeeeeh tena!! No wonder na kichaa cha mimba anakikataa kitu ambacho wataalamu wanakubaliπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈ
 
Unamaanisha Samia ni mwanamke katili ?
 
Tena hiyo misukosuko imkute hadi huko alikojibanza
Hivi hii compaign ya kuwavisha wanawawake ubaya kiiila kukicha hapa jukwaani ina agenda gani nyuma yake!! Ili wanawake waonekane ni mashetani kisha waoane wao kwa wao auπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈ
 
Heeeeeeeh tena!! No wonder na kichaa cha mimba anakikataa kitu ambacho wataalamu wanakubaliπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈ
Tungemuombea akipate lakini sasa ndo hata afanyeje hawezi kubeba mimba
 
Ndo maana yake mi napambana nao kila siku, wivu na ushindani ni mkali sana kwa hii jinsia ya mabibi na mabwana
 
Ndo maana yake mi napambana nao kila siku, wivu na ushindani ni mkali sana kwa hii jinsia ya mabibi na mabwana
Kuna uzi uliwahi anzishwa, sikumbuki jina la member, ulikuwa unasema jf ni kimbilio la mashoga. Akaongelea namna vita ilivyo dhidi ya mwanamke kutoka kwa hao viumbe, maana wanahisi wanawazibia riziki zao. Aaah slishambiliwa na uzi ulifutwa shwaaaa. Ila sasa njoo uzi wa kupondea wanawake, utadumu balaa.
 
KAma alivokatili huyu mama tulienaye sa hvi katili hakubaliki na ni kero
 
Jf inafanya kazi kinyume nyume nyakati hizi, mada zisizo na mantiki zipo zinatrend mashoga yapo yanatrend, limebaki jina ila ladha yake inazidi kuisha
 
Sisi ndo makatili.

Ogopa mtu anayeweza kuua viumbe milioni 3 ndani ya dk 2 kwa mkono tu bila silaha yeyote. Kwanza dk 2 nyingi....πŸ˜…

Natania

Mleta mada unajaribu kuhukumu kundi zima la watu kwa makosa ya wachache.

Unajaribu kuwalinganisha wanaume na wanawake kwa mapungufu yao, kitu ambacho hakiwezekani kwasababu hayo makundi yana tofauti za kujitosheleza, yanapitia hali tofauti kwenye maisha.

Na isitoshe hujajaribu hata kuweka sawa mizani, ungesema na wanaume wanakosea wapi.

Unakosea.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ biologists in work......
 
Soma vitabu vya kukuelimisha, na uvisome ukiwa na utimamu.
Utimamu wangu ndo umeniongoza nikujibu kwa medical facts zinazojulikana.

Najua facts and women are two different things.

β€ŠGoodbye.
 
Kwanza kabisa ni wanaume gani hao unaowazungumzia ambao wanasaidia majukumu ya nyumbani au ndio hadi mke awe hoi kitandani, hawa hawa ambao ukiwaambia wasaidie wanasema "sasa nimeoa ili iweje" na mke akisema aweke housegirl unatembea naye kwa kisingizio cha kwamba mke kajisahau kazi zote kamuachia housegirl, kuhusu wanaume kutoka na kupambana na majambazi ni wanaume wangapi wanafanya hivyo siku hizi mbona cases nyingi tunazozisikia ni majambazi kuvamia nyumba na kuwacharanga mapanga familia nzima au wengine kubaka wanawake wanaowakuta humo

Kuhusu suala la mwanaume kuwa katili na kumuonea mwanamke wala siyo public perception ila ndio reality toka enzi na enzi ni vile tu siku hizi kuna sheria nyingi zinawalinda wanawake baada ya kuwa wameshanyanyasika sana miaka na miaka chini ya mfumo dume, bila shaka unafahamu kwamba zamani kulikuwa na mila na desturi nyingi zilizomkandamiza mwanamke ili tu kumnufaisha mwanaume hata utamaduni wa kukeketa wanawake lengo lilikuwa ni kumnufaisha mwanaume na si mwanamke, zamani binti akishaolewa hatakiwi kurudi nyumbani hata mume wake awe msaliti na mnyanyasaji kiasi gani mwanamke anatakiwa kuvumilia tu na akisema arudi kwao baba yake anamtimua kwa kisingizio cha kwamba ameshakula mahari hivyo binti akavumilie tu

Tukija kwenye suala la ngono na mahusiano jamii bado inampendelea mwanaume na kumuandama mwanamke ndio maana hata mwanaume na mwanamke wakizini anayetukanwa ni mwanamke tena kuna jamii hadi leo mwanamke ndio anauawa huku mwanaume akiachwa, mwanamke na mwanaume wakichelewa kuingia kwenye ndoa anayenyooshewa vidole ni mwanamke kwa kisingizio cha maumbile mwanamke na mwanaume wakizaa mtoto kisha wakaachana mwanamke ndiye anayesimangwa na kuitwa single mother, hizo gender stereotypes na brutal judgement kwa wanawake ambazo zililetwa na wanaume na zinapelekea wanawake kujiona unworthy na inferior mnajifanya hamzioni siku hizi ninyi ndio mmeamua kuplay victims na kuwa walalamikaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…