Baadhi ya wanawake wa sasa hawakupi msaada mpaka alale na wewe kwanza



Sikuhizi wa Turkey wana viungo vizuri sana vya chai, ila ichemke vizuri maana inaweza kuwa sumu.
 
Mkuu we ni Member wa Upinde?
 
Wewe Kama ni mtu mzima basi kunahutajika kufanyika tambiko la kitaifa kuondoa laana hii Kwa taifa.

Bila kulaaniwa taifa haliwez kuwa na watu wa hovyo kiasi hiki
Tatizo ni lile litaa tunalokimbiza kila mwaka mkuu. Ulozi wote uko kule. Siku akatokea mtu akafutilia mbali ujinga ule wa kukimbiza litaa nchi nzima kila mwaka pengine ndiyo watu wetu wataanza kuondoka kwenye kunguku...
 
Wewe ulipenda unafunguliwa zipu umekaa tu embu kwenda uko kwahiyo ulibakwa? Na hukupiga kelele wala nini? Na mtu umtak inasimama vip ulitoa ushirikian
 
Tatizo limeanzia kwetu sisi wenyewe wanaume miaka na miaka, ni sawa na swala la ukatili wa kijinsia....likaota mizizi so kwahivi sasa imekuwa ni kama jambo la kawaida. Ilikuwa kumsaidia mwanamke hata sehemu za ajira mpaka ahonge rushwa ya ngono... So kwasasa hata nao wanawake wanatumia sehemu ya kipato au nafasi walizonazo kufanya malipizi tu🀦🏾🀦🏾🀦🏾
 
Kama ni kweli, hakikisha kabla ya masaa 72 umeanza kutumia dawa za kuua viruses vya ukimwi, na utafanya hivyo kwa siku 28. Fika kwenye kituo cha afya cha karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…